MANAIKI AWACHEZESHA MASTAA MAARUFU MOVIE YA ‘WAKE UP’
Manaiki akiwa na wasanii wenzake, Mama Sonia (katikati) na Taiya. Mandhari ilivyokuwa meza kuu. Msanii Taiya akiwa kwenye pozi. PRODYUZA maarufu Bongo, Manaiki Sanga, hivi karibuni aliitambuLisha filamu yake mpya ya ‘Wake Up’ ambayo amewachezesha karibu mastaa wote marufu…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies04 Aug
Manaiki Awachezesha Mastaa Hawa Maarufu Movie ya ‘Wake up’
PRODYUZA maarufu Bongo, Manaiki Sanga, hivi karibuni aliitambuLisha filamu yake mpya ya ‘Wake Up’ ambayo amewachezesha karibu mastaa wote marufu Bongo.
Akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Atriums jijini Dar es Salaam, Manaiki alisema filamu hiyo ina ubora wa hali ya juu na imekuja kufunika filamu zote za Bongo ambazo zimewahi kuchezwa.
Aliongeza kuwa filamu hiyo imesimamiwa na muongozaji maarufu mwenye ujuzi wa juu ambaye amebobea kwenye kazi ya uongozaji wa filamu, Leah...
10 years ago
Vijimambo16 Jan
Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/wolper113.jpg)
10 years ago
Bongo Movies13 Apr
Mastaa Bongo Movie Njaa Tupu!
Uchunguzi uliofanywa na Ijumaa Wikienda umebaini kwamba mastaa wengi wa sinema za Kibongo wapo katika hali ngumu kiuchumi kutokana na soko la filamu kudorora huku wizi wa kazi zao na kusitishwa mikataba yao na makampuni makubwa ya usambazaji vikichangia.
Uchunguzi huo umebaini kwamba moja ya makampuni yaliyositisha mikataba ya wasanii ni Steps Entertainment ambao wamesababisha mastaa kibao kushindwa kutengeneza muvi kwa kuwa awali walikuwa wakipewa bajeti na Steps kisha kuwauzia kwa bei ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoazHJKgJB0HDSShIOrdrnB7YJUPwmPax-olZyjY2jA2uMIetX7i04C88DyLe5z2OYEfM70pVK7Z8K3eDHhXFxa7/rolper.jpg)
WOLPER AWAPIKU MASTAA BONGO MOVIE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vM7iDEJ0TmnooAEZf8YA04kwi6uQy*-hB9xkCTeH1-K3YLi8TcSSqevrLEyg1OpsKG-M5zeau0*c2AHbtjZezNK1lNCOQrH4/ESHE.jpg)
ESHE AWANANGA MASTAA BONGO MOVIE
9 years ago
Mtanzania16 Sep
MC Simon awaponda mastaa wa Bongo Movie
NA SHARIFA MMASI
MSHEREHESHAJI mahiri nchini, Simon Mbwana, maarufu kwa jina la MC Simon, amewatupia lawama waandaaji na watunzi wa filamu za kibongo nchini kwamba hawana upeo mpana katika utunzi wao.
Alisema katika filamu yake anayotarajia kuiachia muda wowote ikikamilika itaonyesha mfano wa kuigwa na wakongwe hao katika utunzi na uchezaji anaoamini utaondoa pengo kubwa lililopo katika utunzi wa hadithi za tamthilia za kibongo.
“Tanzania ipo nyuma kimaendeleo katika filamu kwa kuwa si...
10 years ago
Bongo Movies16 Jan
WOLPER: Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”
“Nawapenda sana Bongo Movie lakini chakusikitisha vile vichwa mnavyoviamini kwenye tasinia ndo masnichi wakubwa simtoke huko tafuteni kazi nyingne kama hamjasoma kama mimi jifunzeni kushona nguo kama mimi me sahivi na fundi wangu Mgece naingia class asubuh najioni nimeshachoka kutumikishwa na Wahindi ....kipaji changu kingine mitindo so najisogeza kwenye mitindo mbali mbali sio kubanana sehemu ambapo ampendani kazi majungu nakusnchiana kila siku .. Nawahindi awatetereki maana hao mnaowaita...
9 years ago
MillardAyo31 Dec
Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu
December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri wa kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta amekiri kuwa katika harakati za mwisho za kwenda kucheza soka barani katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji. Samatta ambaye December 30 alikiri kuwa bado hajasaini na Genk kama inavyoripotiwa ila mambo yanaenda vizuri, […]
The post Kama Samatta atajiunga na KRC Genk, atakuwa kajiunga na klabu ambayo imechezewa na mastaa hawa maarufu appeared first on...
9 years ago
Bongo Movies21 Aug
Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...