Manchester City warejea kileleni EPL
Manchester City wamerejea kileleni Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Swansea City.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Manchester City kujiuliza kwa Swansea City EPL
LONDON, UINGEREZA
HII inaweza kuwa nafasi nyingine kwa klabu ya Manchester City ya kuongoza Ligi Kuu England kwa tofauti ya mabao ikiwa itaweza kuifunga mabao zaidi ya mawili klabu ya Swansea City.
Hatua hiyo inakuja baada ya kuonekana endapo itafanikiwa kupata alama tatu katika mechi hiyo itafungana kwa alama 32 dhidi ya kinara wa ligi hiyo, Leicester City, hivyo itazilazimu klabu hizo kutofautiana kwa mabao ya kufunga.
Hata hivyo, endapo Manchester City itafanikiwa kupata matokeo mazuri...
9 years ago
BBCSwahili29 Dec
EPL: Arsenal yapaa kileleni
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Mancity yafika kileleni mwa ligi ya EPL
10 years ago
BBCSwahili05 Mar
Chelsea yang'ang'ania kileleni EPL
5 years ago
The Busby Babe09 Mar
Manchester United 2-0 Manchester City: Martial and McTominay make Manchester Red