Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manispaa ya Kinondoni wazindua bodi ya timu

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imezindua Bodi ya timu ya Manispaa hiyo, KMC FC inayoshiriki daraja la kwanza Tanzania Bara ikiwa na wajumbe watano wakiwemo wazoefu kwenye soka nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

LAPF YAMWAGA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA MANISPAA YA KINONDONI

 Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Manispaa ya Kinondoni. Vifaa vilivyotolewa na mfuko huo ni jezi seti 30, mipira 30 pamoja na viatu jozi 30. (Na Mpiga Picha Wetu)Meneja Masoko Kanda ya Pwani, Yessaya Mwakifulefule (kushoto), akimkabidhi vifaa vya michezo vyenye thamani ya shilingi milioni 5 mjumbe wa bodi ya timu ya Manispaa ya Kinondoni, Abbas Tarimba. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA USHIRIKIANO KATI YA BODI YA UTALII TANZANIA NA TIMU YA SUNDERLAND YA NCHINI UINGEREZA WAKATI WA MECHI YAO NA TIMU YA CHELSEA

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeshirikiana na Timu ya mpira wa miguu ya Sunderland ya Uingereza katika uzinduzi wa utangazaji utalii wa Tanzania pamoja na uhamasishaji wa uwekezaji na maendeleo ya michezo (Destination Partner in Tourism and Sports Development). Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 29 Novemba, 2014 kwenye kiwanja cha “Stadium of Light”, kinachomilikiwa na Sunderland Association Football Club (SAFC).

Tukio hilo lilihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Balozi Peter...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni yaigomea Manispaa Kinondoni

MGOGORO wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, kugawa eneo la Barabara ya Keko, Mikocheni ‘A’, Mtaa wa Tindiga kwa Kampuni ya Trans Auto Express Ltd, umeingia katika sura mpya....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Manispaa Kinondoni yainunua Tesema FC

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni,imekuwa manispaa ya kwanza kwa jiji la Dar es Salaam kumiliki timu ya Daraja la Kwanza, baada ya kuinunu timu ya soka ya Tesema. Hatua hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

ADHA YA MBWENI JKT, MANISPAA YA KINONDONI

Ukiwa na haraka Mbweni JKT jiandae kupiga mbizi

Na Kambi Mbwana, Dar es SalaamUPIGE mbizi,Ndivyo unavyoweza kusema msemo huu kama unahitaji kupita haraka haraka katika eneo la Mbweni JKT, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam, mahala panapojengwa daraja la kuvukia watu kwa miaka mitatu sasa, halina dalili za kukamilika hivi karibuni.
 Ni eneo tata,Ni eneo linalokera na kusumbua watu mno, Mbaya zaidi, ni eneo lililozunguukwa na majumba ya watu wenye ukwasi au ukubwa wa majina ya viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YASHEREHEKEA MAFANIKIO YAKE

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (aliyebeba kombe), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (wa pili kulia), Naibu Meya wa Manispaa hiyo, Songoro Myonge (wa pili kushoto) na viogozi wengine wa Manispaa hiyo wakishangilia na kombe la ushindi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2014 kitaifa wakati wa hafla ya mafanikio ya Manispaa hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya Halmashauri hiyo, Dar es Salaam juzi.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana akikabidhi cheti cha shukrani kwa Meya wa...

 

10 years ago

GPL

MADIWANI MANISPAA YA KINONDONI WAFANYA KIKAO

Naibu Meya, Songoro Mnyonge (kushoto), Mstahiki Meya wa manspaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (katikati) na Injinia Musa Natty. Diwani kata ya Kunduchi, Janeth Rite, akisisitiza jambo.…

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema yateua Meya Manispaa ya Kinondoni

Pg 2Veronica Romwald na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Konondoni, kimempitisha Diwani mteule wa Ubungo, Boniface Jacob (Chadema), kuwa mgombea umeya wa Manispaa ya Kinondoni, huku akiwakilisha mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mgombea huyo alikuwa akiwania nafasi hiyo huku akipambana na diwani mwenzake mteule wa Kata ya Mbweni, Abdunel Elibariki (Chadema) ambaye alishindwa kutamba.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani