Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Manji aendelea kuwa bubu mabilioni ya Japan

Mbunge wa Konde Khatib Said Haji (CUF).Wakati Mfanyabiashara Yusuf Manji akiendelea kukaa kimya bila kutoa majibu juu ya kuhusika kwake na kilio cha wafanyabiashara wa kati ambao wameingia kwenye madeni makubwa kutokana na fedha za kusaidia uagizaji wa bidhaa kutoka nje (Commodity Import Support – (CIS), wiki hii serikali inatarajia kuwasilisha kwa kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara ripoti vigogo waliokalia mabilioni ya fedha hizo kwa miaka kadhaa sasa. Manji anatajwa na baadhi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AENDELEA NA ZIARA YAKE TOKYO JAPAN

Waziri mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya vyakula vya Kitanzania vilivyosindikwa kitalaamu, Afisa Mtendaji Mkuu na mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Sumitomo ya Japan,Bw.Michihiko Kanegae baada ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya New Otani, Tokyo, Machi 16, 2015. Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa mtambo wa kufua umeme kwa kutumia gesi katika eneo la Kinyerezi jijini Dar es salaam hivi karibuni. Kushoto ni Meneja Mkuu wa Masuala ya Miundombinu ya Umeme wa kampuni...

 

10 years ago

CloudsFM

Manji Atangaza Kuwa Atajiuzulu yanga iwapo Aliyosema Mengi yatakuwa ni Kweli

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amesema atajiuzulu wadhifa wa uenyekiti iwapo itabainika kuwa kweli yeye ni fisadi, mwizi na muongo kama ambavyo Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi amekuwa akisukuma mashambulizi dhidi yake.

Manji amezungumza na waandishi wa habari kwenye makao makuu ya Yanga, jana na kueleza hayo huku akisisitiza kumtaka Mengi ajitokeze na wakutane kwa ajili ya kufanya mdahalo wa wazi ambao utadhibitisha kuhusiana na tuhuma hizo.

Alisema kuendelea...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli aendelea kuwa mjadala duniani

Ndani ya mwezi mmoja wa kwanza kazini, Rais John Magufuli kashika kila kona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Saniniu Laizer atambulika kuwa bilionea baada ya kupata mawe ya Tanzanite yenye thamani ya mabilioni ya shilingi

Mtanzania Saniniu Lazier ambaye ni mchimbaji madini mdogo amepata madini ya Tanzanite ambayo ya thamani ya bilioni 7.8.

 

10 years ago

GPL

KALA JEREMIAH AENDELEA KUWA BALOZI WA PEPSI NCHINI

Msanii wa muziki, Kala Jeremiah akizungumza jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani). Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo. Kulia ni Meneja Mafunzo,  Rashid Chenje akiwa na Kala Jeremiah.…

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Amani Karume bado aendelea kuwa gumzo Kisonge

Na Mwadini Ali KILICHOANDIKWA kwenye ubao wa matangazo wa Maskani ya Muembekisonge, inayoendeshwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ndio uthibitisho hasa wa fikra mgando zilizoganda akilini mwa viongozi wakuu wa chama hichi. Maskani hii imeandika maneno […]

The post Amani Karume bado aendelea kuwa gumzo Kisonge appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

JUST IN: MWANA DIASPORA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZU MBIO ZA UBUNGE

 Ni Libertus Mwang'ombe "Libe" aliye wahi kuishi DMV (Virginia, Maryland na D.C.) ameonekana kuwa na mvuto wa kipekee kwenye mbio za kuelekea Dodoma.  Mh. Mwang'ombe amekuwa akikusanya umati wa watu na kushangiliwa kwa sana. Watu wa Mbarali wameonyesha kumkubali kijana huyu ambaye hotuba zake ningi zimekuwa hazina lugha chafu, zina waita watu wa Mbarali kuwa wamoja na kupigania maslai kwa pamoja.
Libe anawaomba wana diaspora na waTanzania wote kumuunga mkono kwa kumchangia fedha ili aweze...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO TANZANIA

Ni Liberatus Mwang'ombe aka "Libe" au wenyewe wana wa Mbarali wanamuita "Mnyamwezi" amekua kivutio kwa vijana, wazee, wakina mama na kina dada. Mh. Mwang'ombe amekua akizoa kundi la watu kila sehemu anayo tembelea. Vipeperushi vya Mh. Mwang'ombe vimekuwa vikigombaniwa na watu kunyang'anyana. 
Wakiongea kwa nyakati tofauti wananchi wa Luhanga, Utengule na Igurusi wamesema Mh. Mwang'ombe ni mkombozi wa Mbarali baada ya mateso ya CCM kwa mika mingi. Wamesema walimtuma  Mh. Mwang'ombe Marekani...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO MBIO ZA UBUNGE

Ni Liberatus Mwang"ombe "Libe" ambaye anaonekana kuzoa umaarufu kila uchao kwa weledi wake wa kutoa hotuba zenye kuwaleta watu pamoja na kuwaita vijana katika siasa. Mh. Mwang'ombe amekuwa gumzo jimboni Mbarali kiasi kwamba amekuwa akisimamishwa na watu mbalimbali mitaani hadi wanafunzi. Leo akifanya mkutano wa kampeni Rujewa ameweza kukusanya watu wengi na kusindikizwa na msafara baada ya mkutano hadi ofisi za CHADEMA wilaya. 





Kwenye hotuba yake Mh. Mwang'ombe amesisitizia umoja, ushirikiano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani