Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MANNY PACQUIAO AWASILI LAS VEGAS TAYARI KUPAMBANA NA FLOYD MAYWEATHER

 Ndege aliyosafiri nayo Pacquiao ikiwa uwanjani Philippines  Pambano kati ya Mfilipino Manny Pacquiao na Mmarekani Floyd Mayweather linatarajia kufanyika tarehe May 2, 2015. LasVegas, Nevada. Pambano hilo linatarajia kuingiza zaidi ya kiasi cha $300million.  Msafara wa Manny Pacquiao ukitoka Los Angeles kwenda Las Vegas Basi la kifahari lililombeba Pacquiao lilisindikizwa na bikers kwenda Las VegasInstagram Selfie ya Pacquiao akiwa na mashabiki wake ndani safarini kuelekea Las VegasManny...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MANNY PACQUIAO ATUA LAS VEGAS TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA KIHISTORIA DHIDI YA FLOYD MAYWEATHER

Manny Pacquiao akiwasalimia mashabiki wake waliofika kumpokea alipowasili katika Hoteli ya Mandalay Bay jijini Las Vegas jana usiku. Basi lililobeba wageni na timu ya walimu wa mafunzo wa Pacquiao likielekea Las Vegas jana mchana. Pacquiao akiwa amembeba mwanaye aitwaye Israel baada ya kushuka kwenye basi lake.…

 

10 years ago

Bongo5

Done Deal: Floyd Mayweather na Manny Pacquiao kuzichapa May 2

Pambano lililosubiriwa kwa hamu kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao hatimaye limethibitishwa rasmi kuwa litafanyika May 2 baada ya kipindi kirefu cha mazungumzo kati yao. Mafahari hao watazichapa kwenye ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas ambapo mgawano wa mapato utakuwa ni 60-40. Mayweather atachukua fedha nyingi zaidi. Makubaliano yaliyofikiwa ni pamoja na wote […]

 

10 years ago

Vijimambo

FLOYD MAYWEATHER AMSHINDA MANNY PACQUIAO KWA POINT

Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightMashabiki wa ngumi wakiwemo watu maarufu wakiingia MGM Grand Garden Arena lushuhudia mpambano wa ngumi uliokua umeiteka mitandao na Luninga za Dunia takribani miezi 3.Floyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightFloyd Mayweather Jr. akitupa konde la kushoto kwa Manny Pacquiaokwenye mpambano wao wa welterweight uliofanyika May pili, 2015 katika ukumbi wa MGM Grand Garden uliopo Las Vegas, NevadaFloyd Mayweather Jr. v Manny Pacquiao FightFloyd Mayweather Jr. akitupa konde la kushoto kwa Manny Pacquiao kwenye mpambano wao wa welterweight uliofanyika May pili, 2015 katika ukumbi wa...

 

10 years ago

GPL

FLOYD MAYWEATHER AMCHAPA MANNY PACQUIAO KWA POINTI

Floyd Mayweather akipozi na mikanda yake baada ya kumchapa Manny Pacquiao kwa pointi. Mabondia hao wakitupiana masumbwi wakati wa mpambano huo. BONDIA wa Marekani, Floyd Mayweather amemchapa mpinzani wake raia wa Ufilipino, Manny Pacquiao kwa pointi katika mpambano wao wa karne uliopigwa Ukumbi wa GMG Grand jijini Las Vegas leo…

 

10 years ago

Michuzi

Floyd Mayweather amdunda Manny Pacquiao kwa pointi kibao

Na Sultani KipingoFloyd Mayweather ameibuka mshindi katika pambano la karne baada ya kumdunda Manny Pacquiao kwa pointi nyingi alfajiri ya leo huko Las Vegas, Marekani.  Mmarekani Mayweather, 38, ametumia mbinu za hali ya juu za kujihami dhidi ya mpinzani wake Mfilipino, akifanya marekebisho muhimu kwenye raundi za awali kabla ya kupotea ulingoni.  Mayweather, ambaye ameongeza taji la WBO la uzito wa welterweight juu ya mataji ya WBC na WBA aliyonayo, alipewa ushindi kwa majaji watatu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wababe wa dunia:Floyd Mayweather amshinda Manny Pacquiao kwa pointi 6

fight-8a_rnd_5_3289903bMasumbwi ‘Mawe’ yalivyokuwa kwenye pambano hilo

Las Vegas, USA

Tayari Dunia imeshamtambua mbabe zaidi Duniani katika masumbwi ni nani, baada ya pambano la karne ambalo lilipewa ‘kiki’ kubwa  duniani kote hatimaye Floyd Mayweather na Manny Pacquiao kwa mabondia hapo kupambana mpaka raound 12, ambapo Mmarekani Floyd Mayweather aliibuka kuwa mshindi kwa pointi dhidi ya mshindani wake huyo kutoka Uphilipino. kwa mujibu wa majaji,Floyd alipata pointi 117 na Pacquiao kupata 111.

wattt_3289915bMsimamo wa...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

 Na Sultani KipingoBingwa wa dunia wa masumbi Floyd Mayweather (kushoto) amevuliwa mkanda wa WBO alioupata baada ya kumshinda Manny (kulia)
Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...

 

10 years ago

Vijimambo

Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.


Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.


Floyd Mayweather
 
Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani