MANNY PACQUIAO ATUA LAS VEGAS TAYARI KWA PAMBANO LAKE LA KIHISTORIA DHIDI YA FLOYD MAYWEATHER

Manny Pacquiao akiwasalimia mashabiki wake waliofika kumpokea alipowasili katika Hoteli ya Mandalay Bay jijini Las Vegas jana usiku. Basi lililobeba wageni na timu ya walimu wa mafunzo wa Pacquiao likielekea Las Vegas jana mchana. Pacquiao akiwa amembeba mwanaye aitwaye Israel baada ya kushuka kwenye basi lake.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MANNY PACQUIAO AWASILI LAS VEGAS TAYARI KUPAMBANA NA FLOYD MAYWEATHER




10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
news alert: bondia floyd mayweather avuliwa mkanda kwa kushindwa kulipa ada ya pambano wake na Manny Pacquiao

Pacquiao mwezi Mei Mwaka huu.Uamuzi huo umekuja baada ya bondia huyo mwenye umri wa miaka 38 kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili kabla ya Julai 3, mwaka huu.Hata hivyo Mayweather mwenyewe alitegemewa kuutema mkanda huo, kufuatia ushindi wa pointi dhidi ya Pacquiao. Mmarekami mwenzie Timothy Bradley ndiye ataepewa mkanda...
10 years ago
Africanjam.Com
PICHA: HII NDO DIET YA MANNY PACQUIAO KABLA YA PAMBANO DHIDI YA MAYWEATHER
Tweet
Siku moja tu imesalia kabla ya pambano la kimataifa la masumbwi, kati ya wakali wawili Manny Pacquiao na Floyd Maywether the money team,ambao watapanda ulingoni na kutusanua nani mkali zaidi.Jana kwa nyakati tofauti wakali hawa walizungumza na fans waliofurika katika ukumbi wa MGM grand, Mayweather jr amedai kuonesha uwezo na kumchapa mfilipino huyo
“Nimejiandaa vizuri,na nitamdunda Manny” alitamba TMT.Kwa upande wake mwanamasumbwi Pacquiao amedai hakuwahi kumuogopa Floyd na wala hadhani...

“Nimejiandaa vizuri,na nitamdunda Manny” alitamba TMT.Kwa upande wake mwanamasumbwi Pacquiao amedai hakuwahi kumuogopa Floyd na wala hadhani...
10 years ago
Vijimambo
Floyd Mayweather ametangaza Rasmi Mpambano mkubwa wa dola za kimarekani milioni 250 dhidi ya Manny Pacquiao kwa kuonyesha mkataba uliosainiwa.
Pambano la pesa nyingi katika historia liko mbioni, Mayweather ameonyesha kopi ya mkataba uliosainiwa pamoja na Manny Pacquiao katika mitandao ya kijamii. Mpambano huo uliokuwa katika matayarisho kwa muda wa miaka mitano utafanyika MGM Grand Las Vegas.

Utakuwa ni mpambano ghali zaidi kutokea katika historia za ngumi zakulipwa, utagharimu jumla ya Dola za Kimarekani 250. Katika pesa hizo inaeleweka kuwa Mayweather anauhakika wa kuchukuwa Dola milioni 150 wakati Manny...
10 years ago
Vijimambo03 May
FLOYD MAYWEATHER AMSHINDA MANNY PACQUIAO KWA POINT



10 years ago
GPL
FLOYD MAYWEATHER AMCHAPA MANNY PACQUIAO KWA POINTI
Floyd Mayweather akipozi na mikanda yake baada ya kumchapa Manny Pacquiao kwa pointi. Mabondia hao wakitupiana masumbwi wakati wa mpambano huo. BONDIA wa Marekani, Floyd Mayweather amemchapa mpinzani wake raia wa Ufilipino, Manny Pacquiao kwa pointi katika mpambano wao wa karne uliopigwa Ukumbi wa GMG Grand jijini Las Vegas leo…
10 years ago
GPL
PACQUIAO AJICHUA VIKALI KUELEKEA PAMBANO LAKE LA KARNE DHIDI YA MAYWEATHER
Manny Pacquiao akijiandaa na pambano lake dhidi ya Floyd Mayweather. Maandalizi yakiwa yamepamba moto kwenye gym ya masumbwi ya Wild Card iliyopo Los Angeles nchini Marekani. BONDIA mahiri kutoka Ufilipino, Manny Pacquiao ameendelea kujichua vikali katika gym ya masumbwi ya Wild Card iliyopo Los Angeles nchini Marekani. Pacquiao anajiandaa na pambano lake kali dhidi ya… ...
10 years ago
Michuzi
Floyd Mayweather amdunda Manny Pacquiao kwa pointi kibao
Na Sultani KipingoFloyd Mayweather ameibuka mshindi katika pambano la karne baada ya kumdunda Manny Pacquiao kwa pointi nyingi alfajiri ya leo huko Las Vegas, Marekani. Mmarekani Mayweather, 38, ametumia mbinu za hali ya juu za kujihami dhidi ya mpinzani wake Mfilipino, akifanya marekebisho muhimu kwenye raundi za awali kabla ya kupotea ulingoni. Mayweather, ambaye ameongeza taji la WBO la uzito wa welterweight juu ya mataji ya WBC na WBA aliyonayo, alipewa ushindi kwa majaji watatu...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania