Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAO KASABILE ‘REMI’: Mpiga gitaa Twanga aliyekimbilia kanisani kujifunza ala za muziki

WENGI wanamtambua kwa jina la utani la Remi, ambalo amekuwa akilitumia mara kwa mara, hapa namzungumzia Mao Kasabile ‘Remi’ ni mpiga gitaa la besi katika bendi ya Twanga Pepeta mwenye...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SETH ATINGA KANISANI NA GITAA LA KANUMBA

Na Gladness Mallya MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa Kanumba, Seth Bosco hivi karibuni alitinga kanisani akiwa amebeba gitaa alilokuwa akilitumia Steven Kanumba enzi za uhai wake. Msanii wa filamu ambaye ni mdogo wake marehemu Kanumba, Seth Bosco akiwa na gitaa la Kanumba. Seth alitinga na gitaa hilo katika Kanisa la KKKT, Kimara-Temboni kulikokuwa na ibada ya kumbukumbu ya Kanumba ambapo alionekana akiwa amelishikilia na...

 

11 years ago

Michuzi

MPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI DUNIA

10173726_10152036323227864_1413106576404088176_n Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.
Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa bendi hiyo kuwa mpiga gitaa huyo machachari amefariki baada ya kuugua kwa siku mbili ugonjwa wa kupooza nusu ya mwili wake na kuepelekea kutofanya kazi ipasavyo.
Kwa mujibu wa Meneja wa bendi hiyo Aneth Kushaba AK47 Ugonjwa wa kupooza ulipelekea mishipa ya damu kichwani kupasuka hivyo na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mpiga gitaa Skylight Band Chiri Challa afariki ghafla

10173726_10152036323227864_1413106576404088176_n

Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa(pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili.

Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa bendi hiyo kuwa mpiga gitaa huyo machachari amefariki baada ya kuugua kwa siku mbili ugonjwa wa kupooza nusu ya mwili wake na kuepelekea kutofanya kazi ipasavyo.

Kwa mujibu wa Meneja wa bendi hiyo  Aneth Kushaba AK47 Ugonjwa wa kupooza ulipelekea mishipa ya damu kichwani kupasuka hivyo na...

 

11 years ago

GPL

MPIGA GITAA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AFARIKI GHAFLA‏

Mpiga Gitaa wa Skylight Band maarufu kwa jina la Chiri Challa (pichani) amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia April 17 katika Hospitali ya Muhimbili. Taarifa za awali zimethibitishwa na uogonzi wa bendi hiyo kuwa mpiga gitaa huyo machachari amefariki baada ya kuugua kwa siku mbili ugonjwa wa kupooza nusu ya mwili wake na kuepelekea kutofanya kazi ipasavyo. Kwa mujibu wa Meneja wa bendi hiyo, Aneth Kushaba AK47 ugonjwa wa...

 

11 years ago

GPL

MPIGA GITAA MAARUFU WA SKYLIGHT BAND CHIRI CHALLA AZIKWA JIJINI DAR

Waombolezaji wakiwa msibani Jana kushoto mwenye tisheti nyeusi ni Mratibu wa Skylight Band William Malecela akijadili jambo na Mkurugenzi wa Skylight band Justine Ndege ili kuweka mambo sawa kabla ya Mwili wa marehemu kuwasili.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Mpiga Gitaa maarufu wa Skylight Band marehemu Chiri Challa azikwa Jijini Dar

 Waombolezaji wakiwa msibani Jana kushoto mwenye tisheti nyeusi ni Mratibu wa Skylight Band

William Malecela akijadili jambo na Mkurugenzi wa Skylight band Justine Ndege ili kuweka mambo sawa kabla ya Mwili wa marehemu kuwasili.

Baadhi ya waombolezaji wakibadilishana mawazo Katikati ni Mwanamuziki wa Skylight band Joniko Flower.

Waombolezaji wakiendelea kubadilishana mawazo wakati wakisubili mwili wa marehemu Kufika,Mwenye Baibui nyeusi ni mke wa Chicago Matelephone na wanamuziki wa...

 

11 years ago

GPL

FURSA: MAFUNZO YA KUPIGA ALA ZA MUZIKI‏

 Mwalimu Abeid Mussa akitoa maelekezo ya wakati wa mazoezi ya kufanya onyesho la muziki .
 Mwalimu wa Kinanda Prosper Shirima (katikati) akifundisha .…

 

9 years ago

Bongo5

Pasha arudi darasani kujifunza muziki

12345887_1533819423602873_2031511668_n

Muimbaji wa R&B, Pasha ameamua kurudi shule ili kujifunza jinsi ya kutumia vifaa vya muziki.

12345887_1533819423602873_2031511668_n

Muimbaji huyo aliyeachia video ya wimbo ‘Mahaba Niue’ miezi michache iliyopita, ameambia Bongo5 kuwa ameamua kuingia darasani ili kutanua zaidi wigo wa muziki wake.

“Kuna center moja ipo huku Tabata ndio sehemu ambao nasoma. Najifunza kutumia vifaa vyote vya muziki kwa muda wa miezi sita,” amesema.

“Ni mafunzo ambayo nina imani yataniweka vizuri kimuziki kwa sababu sasa hivi muziki umebadilika kama...

 

10 years ago

GPL

VEGA-CAPPELA, WAIMBAJI WA INJILI WASIOTUMIA ALA ZA MUZIKI

Kundi la Vega-Capella wakiwa katika pozi tofauti za uimbaji. KAMERA yetu leo imekutana na kundi la waimbaji wa Injili liitwalo Vega-Capella ambapo washiriki wake huimba kwa kutumia sauti zao -- bila kutumia ala yoyote ya muziki ambayo wanaiita kwa jina la ‘Akapella’. Kundi hilo lililoanza shughuli zake mwaka limedhamiria kuendelea na juhudi zake za kueneza… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani