Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI: Kuharamisha ramli pekee kutawaokoa albino?

>Kutokana na kuendelea kuwapo kwa imani za kishirikina nchini ambazo zimesababisha watu wengi wenye ulemavu wa ngozi kupoteza maisha au sehemu za viungo vyao, Serikali imepiga marufuku vitendo vya upigaji ramli vinavyofanywa na baadhi ya waganga wa jadi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UWAWATA WAMKABIDHI WAZIRI CHIKAWE RIPOTI INAYOPINGA UPIGAJI WA RAMLI NA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE NCHINI

 Mratibu Mkuu wa Umoja wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili Tanzania (Uwawata), Julius Juju (wapili kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, ripoti inayopinga upigaji wa ramli na mauaji ya albino na vikongwe nchini. Ripoti hiyo iliyoandaliwa na zaidi ya Wajumbe 200 wa Uwawata baada ya kufanya utafiti ya mauaji ya albino katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na kufanya semina ya hitimisho jijini Mwanza kwa kutoa maazimio ya kupinga mauaji hayo. Kulia ni Mkaguzi wa Waganga...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Soko la sanaa haliko jukwaani pekee

>Kuna wakati kutokana na kuiva kwa vitengo vyetu katika tasnia fulani fulani ikiwemo hii ya sanaa, inatubidi kuingia katika kazi ya kufundisha ndugu zetu waliopo katika tasnia jinsi ya kwenda na hizi kazi walizonazo ili wasipotoke na hii ni kwa manufaa yao zaidi.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Mwananchi

MAONI: Tumsaidie Rais kudhibiti na kukomesha mauaji ya albino

>Rais Jakaya Kikwete kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi amezungumzia tatizo la mauaji ya albino, akisema Serikali imelipa uzito mkubwa suala la kudhibiti na kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi au kukatwa baadhi ya viungo vyao wenyewe wakiwa hai.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je ni sawa vyombo vya dola kuharamisha Zinaa?

Mume aliyempata mkewe akizini mjini Nairobi alimpeleka katika kituo cha polisi pamoja na mwanamume aliyemkamata naye kuwashitaki.

 

10 years ago

CloudsFM

Wapiga ramli wapigwa marufuku

SERIKALI imewapiga marufuku wapiga ramli wote nchini kwani wanavunja sheria kwa kuwadanganya wananchi wapeleke viungo vya albino ili kupata utajiri na uongozi.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe alisema kutokana na ongezeko la matukio ya utekaji wa albino nchini, serikali imeamua kuanza kuwadhibiti wapiga ramli, akisema inaaminika ndio chanzo cha matukio hayo.

Aidha, Jeshi la Polisi na Chama cha Albino Tanzania (TAS) kimeandaa timu itakayofanya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiga ramli kupigwa marufuku TZ

Serikali ya Tanzania imeunda kikosi maalumu kwa ajili ya kupambana na vitendo vya ukatili wanaofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi Albino.

 

10 years ago

StarTV

Serikali yazuia shughuli zinazohusiana na ramli.

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

 

Serikali imezuia shughuli zote zinazohusiana na upigaji ramli ikiwataka wapiga ramli wote kuacha shughuli hiyo mara moja vinginevyo watakaobainika watachukuliwa hatua za kisheria.

Katazo hili linakuja ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kukabiliana na mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi Albino ambayo yamedumu kwa muda mrefu sasa hapa nchini.

Waziri wa Mambo ya ndani Mathias Chikawe amesema si kwamba Serikali inaamini uchawi la hasha. Ila kuwepo...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yapiga ramli msaidizi wa Mkwasa

UONGOZI wa Yanga bado unaendelea kufanya utafiti wa kumtafuta mbadala wa Charles Mkwasa kwa ajili ya kusaidiana na Kocha Mkuu Hans Pluijm (pichani) kukinoa kikosi hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani