MAONI: Msimu wa ligi unaisha, timu zijitathmini
>Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara inatarajiwa kufikia mwisho Mei 9, huku Yanga ikiwa imeshatwaa ubingwa licha ya kuwa mechi mbili mkononi. Kumalizika kwa ligi ambayo imeshuhudia matukio mengi, yakiwamo mengine ambayo si ya kupendeza, wala si kiuanamichezo, ni mwanzo wa msimu mpya wa ligi ambao utakuwa na timu 16 badala ya 14 za msimu huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-zZnrIWJTAG4/U2ZrgTWIgAI/AAAAAAAFfVk/7GCSzriLp0Y/s72-c/TFF+Logo.jpg)
TIMU 16 KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU WA 2015/2016
![](http://1.bp.blogspot.com/-zZnrIWJTAG4/U2ZrgTWIgAI/AAAAAAAFfVk/7GCSzriLp0Y/s1600/TFF+Logo.jpg)
Mabadiliko hayo yamepitishwa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) iliyokutana jana (Mei 3 mwaka huu) jijini Dar es Salaam baada ya kupokea mapendekezo ya kuongeza idadi ya timu kutoka kwenye Kamati ya Mashindano.
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuongeza ushindani katika ligi hiyo, na kuwezesha wachezaji kupata mechi nyingi zaidi za mashindano. Kwa mabadiliko...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWwkcbiaf7n95HdChjZ5-u7aZbPiIhzWY5*6DUIN1Eg-l3rKHU6MWaqqXKJbDu26rOr9azJyiYP0jjCx80291GBu/001.KITS.jpg?width=650)
VODACOM YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 14 ZA LIGI KUU KWA AJILI YA MSIMU WA 2014/2015
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s72-c/001.Ferrao.jpg)
WADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-3OtAUFP4jcE/VfJgdmfF7cI/AAAAAAAH384/FxxMDPiyTxg/s640/001.Ferrao.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3rPnvKAR8Ko/VfJghZutsEI/AAAAAAAH39A/NbQnv8YM4SA/s640/002.Ferrao.jpg)
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
11 years ago
Michuzi07 Aug
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Tuiheshimu ligi yetu ya soka msimu huu
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Mourinho ahofia Ligi ya Mabingwa msimu ujao
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho amekiri kwamba itakuwa vigumu kwa timu yake kufuzu kwa Klabu Bingwa
barani Ulaya msimu ujao kutokana na mwenendo mbaya wa klabu hiyo.
Mwishoni mwa wiki iliyopita klabu hiyo ilikuwa kwenye uwanja wa nyumbani Stanford Bridge na kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao Bournemouth, kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini England.
Kichapo hicho ni cha nane katika michezo 15 ya Ligi Kuu, kimewaacha mabingwa hao watetezi wakiwa katika nafasi ya...
10 years ago
Raia Mwema22 Jul
TFF imejiandaaje kwa ligi msimu ujao?
WAKATI Ligi Kuu soka Tanzania Bara inafikia ukingoni msimu uliopita, yaliandikwa na kusemwa mengi
Mwandishi Wetu
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Tunatarajia makubwa Ligi Kuu msimu wa 2014/15