Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Maoni ya Bunge la Katiba yasivurugwe’

>Viongozi na jamii nchini wametakiwa kuwa makini na vyama vya siasa na makundi yanayoibuka ndani ya Bunge la Katiba kwa lengo la kupindisha maoni yaliyotolewa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAONI YA WACHACHE, WENGI, BUNGE LA KATIBA LIMEPINDA

Na Luqman Maloto HUKO nyuma niliwahi kuandika makala, nikaeleza “Siasa, porojo na uhuni  siyo matarajio ya Watanzania Bunge la Katiba”. Aliyesoma alinielewa. Kama hukupata bahati hiyo, lengo langu lilikuwa kila mmoja ambaye anaitwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, avae uzalendo. Mtanzania hatanufaika kwa misimamo ya makundi. Atakuwa bora kama nchi yake itatendewa haki kwa muundo wa katiba yenye jicho la kumpa hifadhi...

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI: Nani atalinusuru Bunge Maalumu la Katiba?

>Kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya viongozi na wasomi nchini kwamba Katiba Mpya haitapatikana iwapo kundi linalounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) litaendelea kususia shughuli za Bunge hilo, zitakuwa zimeibua hisia kali miongoni mwa wananchi wanaodhani kuna umuhimu kwa uongozi wa nchi kuzikutanisha haraka pande zote zinazokinzana ili kuliepusha Bunge hilo na hatari ya kusambaratika.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba liahirishwe, twende kwenye kura ya maoni

Bunge Maalumu la Katiba linatarajiwa kuanza mnamo Agosti 5 mwaka huu, likiendeleza mjadala wa siku 70 wa rasimu ya Katiba.

 

11 years ago

Michuzi

Bunge la Katiba: Maoni kuhusu malalamiko kuwa posho haitoshi


Maoni ya baadhi ya wadau kuhusu lawama kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa posho ya Shilingi 300,000/= wanayolipwa kwa siku, haikidhi haja.

Maria Sarungi-Tsehai, Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika: Kimsingi tuliteuliwa kwenda kuwakilisha wananchi wa vikundi mbalimbali katika Bunge maalum la katiba kufanya kazi moja tu kwa siku 70 - kuandaa pendekezo la katiba kisha tutawanyike turudi makwetu. Hatujaenda huko kutajirika wala...

 

10 years ago

Vijimambo

MAONI YA MWIGULU NCHEMBA,FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KWA WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU

EXCLUSEIVEEEEE KUTOKA DODOMA
COMRADE MWIGULU NCHEMBA AKATAA FEDHA ZA UMMA ZILIZOBAKIA BUNGE LA KATIBA KUTAFUNWA NA WAJUMBE WA BUNGE HILO,AAGIZA FEDHA ZOTE ZILIZOSALIA BUNGE LA KATIBA ZIELEKEZWE KUSAIDIA WANAFUNZI WALIOKOSA MIKOPO ELIMU YA JUU,KUJENGEA VITUO VYA AFYA NA KUSAIDIA MASIKINI.
Mwigulu Nchemba asema fedha zitakazookolewa kutokana na kutokuendelea bunge maalumu zipeslekwe kuwalipia ada vijana waliokosa mikopo ya elimu ya juu.

Sokoine wa Pili ndugu Mwigulu Nchemba ameshauri fedha...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA WAISHIO DMV USA WALIPOKUTANA KUMSIKILIZA MH. ISMAIL JUSSA, ALIPOELEZEA UCHAKACHULIWAJI WA MAONI YA KATIBA NA KUELEZEA SABABU ZINAZOIFANYA UKAWA KWA NINI HAITOSHIRIKI KATIKA KURA YA MAONI

Kabla ya mkutano kuanza, picha ya juu na chini zinazofuata, zikionyesha  kisimamo cha dakika moja kumuombe na kada  na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, John Komba

MC katika mkutano huo, Bw.Libe Mwang'ombe, aliyeumudu kuuendesha mkutano kwa utaratibu uliotakiwa na kwa usalama hadi mwisho bila jazba hadi mwisho masuali yaliulizwa kwa vifungu na kujibiwa ipasavyo   Dada Salma akiuliza suali kwa wakati wake, masuali mengi yaliulizwa na wadau mbali mbali ambyo yalikuwa ya msingi kwa mustakabali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani