Bunge la Katiba: Maoni kuhusu malalamiko kuwa posho haitoshi
![](http://3.bp.blogspot.com/-qIHpMWSYoHE/UwYrZzLiZuI/AAAAAAAASwo/8r7U2VzXuK0/s72-c/index.jpg)
Maoni ya baadhi ya wadau kuhusu lawama kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa posho ya Shilingi 300,000/= wanayolipwa kwa siku, haikidhi haja.
Maria Sarungi-Tsehai, Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika:
Kimsingi tuliteuliwa kwenda kuwakilisha wananchi wa vikundi mbalimbali katika Bunge maalum la katiba kufanya kazi moja tu kwa siku 70 - kuandaa pendekezo la katiba kisha tutawanyike turudi makwetu. Hatujaenda huko kutajirika wala...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi21 Feb
Bunge la Katiba: Spika ateua 6 kuchunguza malalamiko ya posho za Wajumbe
Akitangaza majina hayo kabla ya kuanza kwa semina kwa wajumbe hao, Kificho alirejea Sheria ya Mabadiliko ya Bunge la Katiba Sura ya 83 toleo la mwaka 2014 na kusema:“Kuhusu suala la kumudu kuishi...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Gb_hmItxCFM/U_yjdqFoofI/AAAAAAAGCiU/p2LUak-hf6c/s72-c/unnamed%2B(23).jpg)
Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/en/7/78/Chadema_bendera.jpg)
UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
10 years ago
MichuziBUNGE LAANDAA SEMINA MAALUMU KUHUSU UMUHIMU WA KUWA NA MPANGO MKAKATI WA MAWASILIANO NA NAMNA BORA YA KUPOKEA MAONI YA WADAU WAKATI WA KAMATI ZAKE
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
Bunge la Katiba wagomea posho
JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi za umma limezidi kushika kasi baada ya jana wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka waongezewe posho zaidi....
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Posho za Bunge la Katiba kufuru
SIKU chache tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza majina ya wajumbe walioteuliwa kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba, posho za wabunge hao kwa siku ni kufuru. Habari ambazo gazeti...
11 years ago
Tanzania Daima04 May
‘Serikali isitishe posho Bunge la Katiba’
SERIKALI imeombwa kuzuia malipo ya posho kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, badala yake fedha hizo zielekezwe katika huduma za jamii. Kauli hiyo ilitolewa juzi wilayani Rorya mkoani Mara...
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Posho Bunge la Katiba yaundiwa tume
SAKATA la nyongeza ya posho limechukua sura mpya baada ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kuunda kamati ya watu sita kulishughulikia. Kificho alisema kamati...
10 years ago
Mtanzania26 Aug
Bunge la Katiba: Posho zazua balaa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
Na Fredy Azzah, Dodoma
WAKATI vikao vya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba vikiendelea mjini hapa, kundi la wajumbe wa Bunge hilo limeibuka na kulalamikia hatua ya kutolipwa posho za kujikimu.
Kutokana na hali hiyo wajumbe hao ambao hawakuwa tayari kutajwa majina yao gazetini, wamedai wamekuwa wakiishi maisha ya tabu hali inayochangiwa na Ofisi ya Bunge Maalumu kushindwa kuwalipa posho za siku 11...