Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Katiba: Spika ateua 6 kuchunguza malalamiko ya posho za Wajumbe

Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalum la Katiba, Ameir Pandu Kificho, ametangaza majina ya watu sita watakaounda timu kwa ajili ya kuyafanya bora malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wajumbe wa Bugne hilo kuwa ya posho ya Shilingi 300,000/= kwa siku haitoshi kuwawezesha kuifanya kazi hiyo kwa makini.
Akitangaza majina hayo kabla ya kuanza kwa semina kwa wajumbe hao, Kificho alirejea Sheria ya Mabadiliko ya Bunge la Katiba Sura ya 83 toleo la mwaka 2014 na kusema:“Kuhusu suala la kumudu kuishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Bunge la Katiba: Maoni kuhusu malalamiko kuwa posho haitoshi


Maoni ya baadhi ya wadau kuhusu lawama kutoka kwa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa posho ya Shilingi 300,000/= wanayolipwa kwa siku, haikidhi haja.

Maria Sarungi-Tsehai, Mjumbe wa Bunge la Katiba kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika: Kimsingi tuliteuliwa kwenda kuwakilisha wananchi wa vikundi mbalimbali katika Bunge maalum la katiba kufanya kazi moja tu kwa siku 70 - kuandaa pendekezo la katiba kisha tutawanyike turudi makwetu. Hatujaenda huko kutajirika wala...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aibu wajumbe Bunge la Katiba kulalamikia posho

MIJADALA ya siku mbili tu tangu Bunge Maalumu la Katiba lilipoanza kikao chake mjini Dodoma, inatia shaka kama kweli wawakilishi hao walioteuliwa na rais watatimiza lengo ambalo Watanzania wanalitarajia la...

 

11 years ago

Mwananchi

Hii ndiyo timu ya kufuatilia posho za wajumbe wa #Bunge la #Katiba

Timu hiyo inatarajiwa kuyachunguza kwa undani mahitaji ya wajumbe wa Katiba, kisha kuisaidia serikali kutafuta jinsi ya kuongeza posho hizo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Bunge ladhibiti posho kwa wajumbe watoro

JUKATA laonya katiba si mradi binafsi Mrema: Nina akili timamu sio za UKAWA
NA WAANDISHI WETU BUNGE Maalum la Katiba limeweka udhibiti mkali kwa wajumbe wenye tabia ya kusaini posho bila kuhudhuria vikao.Wabunge wa bunge maalum la katiba wakiendelea na vikaoLimesema kuwa lilishitukia mbinu hizo mapema kabla ya kuanza kwa vikao huku baadhi ya wajumbe wa kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA) kuwa ndio wamekuwa na mchezo huo.Kutokana na hali hiyo, mfumo wa malipo kwa wajumbe kwa sasa umebadilika...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

Mwananchi

JK ateua majina ya wabunge wa bunge la Katiba

>Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amekamilisha uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, litakaloanza vikao vyake Februari 18 mjini Dodoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani