Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge la Katiba: Posho zazua balaa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Fredy Azzah, Dodoma

WAKATI vikao vya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba vikiendelea mjini hapa, kundi la wajumbe wa Bunge hilo limeibuka na kulalamikia hatua ya kutolipwa posho za kujikimu.

Kutokana na hali hiyo    wajumbe hao ambao hawakuwa tayari kutajwa majina yao gazetini, wamedai wamekuwa wakiishi maisha ya tabu hali inayochangiwa na Ofisi ya Bunge Maalumu kushindwa kuwalipa posho za siku 11...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Bunge yatoa ufafanuzi kuhusu malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba

OFISI ya Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, imetoa ufafanuzi juu ya taarifa zilizotolewa kwenye vyombo vya habari kuhusu kuchelewa kwa malipo ya posho za Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Ufafanuzi huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Habari na Itifaki Bw. Jossey Mwakasiyuka wakati alopokutana na waandishi wa habari kwa lengo la kutolea ufafanuzi kuhusiana na taarifa hizo zilizoikera ofisi hiyo ya Bunge Maalum.
Mwakasyuka amevieleza vyombo vya habari kuwa, ofisi ya Bunge Maalum imekerwa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bunge la Katiba wagomea posho

JINAMIZI la kutaka posho nono kwa watu wanapopewa majukumu ya kufanya kazi za umma limezidi kushika kasi baada ya jana wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutaka waongezewe posho zaidi....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho za Bunge la Katiba kufuru

SIKU chache tu baada ya Rais Jakaya Kikwete kutangaza majina ya wajumbe walioteuliwa kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba, posho za wabunge hao kwa siku ni kufuru. Habari ambazo gazeti...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA!

Stori: Musa Mateja
ZILE tuzo saba alizotwaa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenye mkesha wa Jumapili iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam zimezua balaa! Ni balaa gani hilo? Risasi Jumatano linakumegea. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipokea tuzo kutoka kwa Wema Sepetu. Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa Diamond walicharuka kufuatia...

 

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki zazua balaa

>Utoaji tiketi za ki-eletroniki kwenye mechi ya kirafiki iliyozikutanisha timu za Mbeya City na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, umeingia dosari baada ya wengi kutoingia uwanjani kwa madai ya kukosa tiketi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali isitishe posho Bunge la Katiba’

SERIKALI imeombwa kuzuia malipo ya posho kwa wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba, badala yake fedha hizo zielekezwe katika huduma za jamii. Kauli hiyo ilitolewa juzi wilayani Rorya mkoani Mara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Posho Bunge la Katiba yaundiwa tume

SAKATA la nyongeza ya posho limechukua sura mpya baada ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kuunda kamati ya watu sita kulishughulikia. Kificho alisema kamati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BUNGE MAALUMU LA KATIBA: Uzalendo na posho (2)

BUNGE Maalumu la Katiba limeanza kazi iliyokusudiwa! Hata hivyo, matarajio ya wananchi wengi yameanza kuingia shaka kubwa baada ya wabunge kuanza madai ya nyongeza ya posho za vikao badala ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fedha zilizolipwa FIFA zazua balaa

Barua inayosemekana iliandikwa na rais wa shirikisho la soka nchini Afrika kusini, Danny Jordaan, inaongeza uzito wa shutuma kwamba serikali ya hiyo ilificha malipo ya dola milioni kumi kwa FIFA .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani