Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tiketi za elektroniki zazua balaa

>Utoaji tiketi za ki-eletroniki kwenye mechi ya kirafiki iliyozikutanisha timu za Mbeya City na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, umeingia dosari baada ya wengi kutoingia uwanjani kwa madai ya kukosa tiketi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki zazua jambo

>Bodi ya Ligi (PTL) inayosimamia Ligi Kuu Bara, imeamua kuingilia kati suala la kutumika kwa tiketi za elektroniki baada ya kuomba kupata taarifa ya fedha zinazoingia kutokana na mauzo ya tiketi.

 

11 years ago

GPL

TIKETI ZA ELEKTRONIKI MARUFUKU

Rais wa TFF, Jamal Malinzi. SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vinane mpaka itakapotolewa taarifa nyingine. Habari zilizopatikana Dar es Salaam jana, zilisema TFF imeamua kufanya hivyo baada ya kubaini madudu mengi katika tiketi hizo. Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambao unatumika kwa tiketi hizo, haukutumia tiketi hizo...

 

9 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki aibu

Miezi kadhaa tangu mfumo wa tiketi za elektroniki ukwame, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linatupiana mpira na Benki ya CRDB kuhusu mpango wa kuzirejesha.

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA!

Stori: Musa Mateja
ZILE tuzo saba alizotwaa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenye mkesha wa Jumapili iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam zimezua balaa! Ni balaa gani hilo? Risasi Jumatano linakumegea. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipokea tuzo kutoka kwa Wema Sepetu. Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa Diamond walicharuka kufuatia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni tiketi za elektroniki Stars vs Msumbiji

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kuwa mashabiki watakaotaka kuliona pambano baina ya timu ya taifa, Taifa Stars na Msumbiji ‘Mambaz’, watalazimika kununua tiketi za kielektroniki kupitia Kampuni ya Max...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tiketi za elektroniki zafeli Tanga

MASHABIKI wa soka mkoani Tanga, wameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa elimu kuhusiana na mfumo mpya wa tiketi unaotolewa kwa njia ya kieletroniki kwani umewaleta adha. Wakizungumza jijini hapa...

 

10 years ago

Mtanzania

Bunge la Katiba: Posho zazua balaa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Fredy Azzah, Dodoma

WAKATI vikao vya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba vikiendelea mjini hapa, kundi la wajumbe wa Bunge hilo limeibuka na kulalamikia hatua ya kutolipwa posho za kujikimu.

Kutokana na hali hiyo    wajumbe hao ambao hawakuwa tayari kutajwa majina yao gazetini, wamedai wamekuwa wakiishi maisha ya tabu hali inayochangiwa na Ofisi ya Bunge Maalumu kushindwa kuwalipa posho za siku 11...

 

9 years ago

GPL

TAJIRI AFA, MALI ZAZUA BALAA!

Na Waandishi Wetu MALI za aliyekuwa tajiri maarufu Dar, marehemu Charles John Mallya zimezua balaa baada ya mke mkubwa, Philomena Masechu ambaye anadai kuchuma naye kiasi kikubwa cha mali hizo kusema amedhulumiwa na mke mdogo, akimtaja Mariana kwa kushirikiana na watoto wa wake wengine wa marehemu.
Marehemu Charles John Mallya enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili kwa masikitiko, Philomena alisema uchochezi mkubwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fedha zilizolipwa FIFA zazua balaa

Barua inayosemekana iliandikwa na rais wa shirikisho la soka nchini Afrika kusini, Danny Jordaan, inaongeza uzito wa shutuma kwamba serikali ya hiyo ilificha malipo ya dola milioni kumi kwa FIFA .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani