Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIKETI ZA ELEKTRONIKI MARUFUKU

Rais wa TFF, Jamal Malinzi. SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vinane mpaka itakapotolewa taarifa nyingine. Habari zilizopatikana Dar es Salaam jana, zilisema TFF imeamua kufanya hivyo baada ya kubaini madudu mengi katika tiketi hizo. Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambao unatumika kwa tiketi hizo, haukutumia tiketi hizo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki aibu

Miezi kadhaa tangu mfumo wa tiketi za elektroniki ukwame, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linatupiana mpira na Benki ya CRDB kuhusu mpango wa kuzirejesha.

 

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki zazua jambo

>Bodi ya Ligi (PTL) inayosimamia Ligi Kuu Bara, imeamua kuingilia kati suala la kutumika kwa tiketi za elektroniki baada ya kuomba kupata taarifa ya fedha zinazoingia kutokana na mauzo ya tiketi.

 

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki zazua balaa

>Utoaji tiketi za ki-eletroniki kwenye mechi ya kirafiki iliyozikutanisha timu za Mbeya City na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, umeingia dosari baada ya wengi kutoingia uwanjani kwa madai ya kukosa tiketi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni tiketi za elektroniki Stars vs Msumbiji

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetangaza kuwa mashabiki watakaotaka kuliona pambano baina ya timu ya taifa, Taifa Stars na Msumbiji ‘Mambaz’, watalazimika kununua tiketi za kielektroniki kupitia Kampuni ya Max...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tiketi za elektroniki zafeli Tanga

MASHABIKI wa soka mkoani Tanga, wameliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa elimu kuhusiana na mfumo mpya wa tiketi unaotolewa kwa njia ya kieletroniki kwani umewaleta adha. Wakizungumza jijini hapa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

TFF kutoa somo tiketi za elektroniki

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) linatarajiwaa kutoa elimu kwa mashabiki juu ya matumizi ya tiketi za kielektroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika rasmi katika raundi ya lala salama ya Ligi Kuu Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanaozikandia tiketi za elektroniki wana yao

Teknolojia ni mabadiliko ya sayansi yanayoendana na mazingira husika. Dunia imekuwa kijiji na zaidi ni kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YASITISHA MATUMIZI YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI TAIFA

Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.  IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani