Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha zilizolipwa FIFA zazua balaa

Barua inayosemekana iliandikwa na rais wa shirikisho la soka nchini Afrika kusini, Danny Jordaan, inaongeza uzito wa shutuma kwamba serikali ya hiyo ilificha malipo ya dola milioni kumi kwa FIFA .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tiketi za elektroniki zazua balaa

>Utoaji tiketi za ki-eletroniki kwenye mechi ya kirafiki iliyozikutanisha timu za Mbeya City na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, umeingia dosari baada ya wengi kutoingia uwanjani kwa madai ya kukosa tiketi.

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA DIAMOND ZAZUA BALAA!

Stori: Musa Mateja
ZILE tuzo saba alizotwaa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwenye mkesha wa Jumapili iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam zimezua balaa! Ni balaa gani hilo? Risasi Jumatano linakumegea. Nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ akipokea tuzo kutoka kwa Wema Sepetu. Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa Diamond walicharuka kufuatia...

 

11 years ago

Mtanzania

Bunge la Katiba: Posho zazua balaa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

Na Fredy Azzah, Dodoma

WAKATI vikao vya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba vikiendelea mjini hapa, kundi la wajumbe wa Bunge hilo limeibuka na kulalamikia hatua ya kutolipwa posho za kujikimu.

Kutokana na hali hiyo    wajumbe hao ambao hawakuwa tayari kutajwa majina yao gazetini, wamedai wamekuwa wakiishi maisha ya tabu hali inayochangiwa na Ofisi ya Bunge Maalumu kushindwa kuwalipa posho za siku 11...

 

10 years ago

GPL

TAJIRI AFA, MALI ZAZUA BALAA!

Na Waandishi Wetu MALI za aliyekuwa tajiri maarufu Dar, marehemu Charles John Mallya zimezua balaa baada ya mke mkubwa, Philomena Masechu ambaye anadai kuchuma naye kiasi kikubwa cha mali hizo kusema amedhulumiwa na mke mdogo, akimtaja Mariana kwa kushirikiana na watoto wa wake wengine wa marehemu.
Marehemu Charles John Mallya enzi za uhai wake. Akizungumza na gazeti hili kwa masikitiko, Philomena alisema uchochezi mkubwa...

 

10 years ago

CloudsFM

Picha za mahaba za Nay Wa Mitego zazua balaa, ‘mkewe’ aondoka na mtoto nyumbani

Zile picha za mahaba za msanii wa Hip Hop Bongo,Nay Wa Mitego akiwa na msichana kitandani zimezua balaa kwa mama mtoto wake Siwema Edson ambaye baada ya kuziona aliamua kumchukua mtoto wake na kuondoka nyumbani kwa msanii huyo maeneo ya Kimara,jijini Dar.Siwema akizungumza na Soudy Brown kupitia Uheard alisema kuwa alipata mshtuko mkubwa sana baada ya kuziona picha hizo ambapo aliamua kuondoka nyumbani na mtoto wake mdogo.‘’Kiukweli zile picha zilinishtua sana nilimuuliza Nay akaniambia ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa kuipa fedha TFF

Fifa imeahidi kuipa fedha Shirikisho la soka Tanzania, TFF kwa ajili ya maandalizi ya kuwania kufuzu Kombe la dunia mwaka 2018

 

10 years ago

Mwananchi

Fedha za Fifa kujenga maduka TFF

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amesema mgawo wa fedha za Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) utatumika kuendeleza soka pamoja na kujenga maduka na hoteli ndogo kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

 

10 years ago

StarTV

Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA.

Waziri wa michezo wa Afrika Kusini , Fikile Mbalula, sasa anasema rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA , hela ambayo sasa inakumbwa na madai kwamba ilikuwa rushwa .

Utawala wa Afrika Kusini umekuwa ukisisitiza kwamba ulikuwa ni mchango wa kusaidia kukuza soka katika nchi za Caribbean.

Lakini waendesha mashtaka wa Marekani wanadai ilikuwa hongo, iliyoshawishi kupewa uenyeji wa kombe la dunia mwaka 2010 .

Bwana Mbeki mwenyewe...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri:Mbeki ndiye aliyetoa fedha kwa FIFA

Rais wa zamani wa Afrika kusini Thabo Mbeki ndie aliyeruhusu ulipwaji wa fedha ,dola milioni 10 kwa FIFA ,fedha zilizozua utata

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani