Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BENKI YA POSTA TANZANIA (KUFUTA NA KUWEKA MASHARTI YA MPITO), 2015 (THE TANZANIA POSTAL BANK {REPEAL AND TRANSITIONAL PROVISION} ACT, 2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. Mohamed Habib J. Mnyaa (Mb) K.n.y Msemaji Mkuu-Kambi Rasmi ya Upinzani, Wizara ya Fedha 29.06.2015.Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MASOKO YA BIDHAA YA MWAKA 2015 (COMMODITY EXCHANGE ACT,2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. David Ernest Silinde (Mb) K.n.y Waziri Kivuli- Wizara ya Fedha 29.06.2015Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA MHE. CECILIA PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/16


Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB).
(Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013).
1.0 UtanguliziMheshimiwa Spika,Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa.
Mheshimiwa Spika, Napenda kutumia fursa hii, kuwashukuru watanzania wote kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko...

 

10 years ago

GPL

HOTUBA YA MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI WIZARA YA KAZI NA AJIRA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA FEDHA 2015/2016

Mhe. Cecilia Daniel Paresso (MB). (Inatolewa kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za Bunge kanuni ya 99(9) toleo la mwaka 2013). 1.0 Utangulizi
Mheshimiwa Spika,
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia Taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa ninapokuwa katika shughuli zangu za kisiasa. Mheshimiwa Spika,
Napenda kutumia fursa hii,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maoni ya mdau Auncle Fafi kuhusu Muswada wa makosa ya kimtandao 2015

GO9G3451

Wizara ya Mawasiliano Sayansi na Teknolojia inajiandaa kupeleka bungeni muswada wa sheria ya makosa ya mtandao 2015 ambayo unaweza kuisoma kwa kubofya hapa. Kama zilivyo sheria nyingi kabla ya kupitishwa wabunge hupewa nafasi ya kuijadili na kufanya marekebisho pale penye mapungufu.  Baada ya kuipitia haraka haraka nimegundua baadhi ya vitu ambavyo naamini havijakaa sawa na nimejaribu kuelezea kwa chini yake. Ni matumaini yangu wabunge wetu wataipitia vizuri zaidi na kugundua mengi ambayo...

 

10 years ago

Vijimambo

Athari 12 Za Sheria Mpya Ya Masuala ya Mitandao ( TANZANIA VYBERCRIME ACT, 2015 ) Iliyopitishwa Bungeni


Sheria hii ni muhimu duniani kote na ndio maana hata Tanzania ilikuwa inangojea kupata sheria ya kuongoza masuala ya mitandao yaani Cyber Law kutokana na uhalifu wa aina mbalimbali wa masuala ya mitandao.
Sifa kuu ya sheria ya kuongoza masuala ya mitandao ni kuweka bayana makosa ya mitandaoni na pia kuyatolea adhabu. Sheria hii inayopitishwa kwa dharura madhara yake ni:
Moja, Kifungu 7 (2b): Mpokeaji wa ujumbe (receiver) anaweza kushtakiwa kwa kosa la kupokea ujumbe ambao sheria imeufanya kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Upinzani watoa masharti magumu kushiriki Uchaguzi Mkuu 2015

Serikali imetakiwa kuandaa taratibu za mpito za kushughulikia Uchaguzi Mkuu ujao ili kunusuru nchi kuingia katika mtanziko unaoweza kuwa chanzo cha machafuko ya kisiasa, endapo utafanyika bila kupatikana kwa Katiba Mpya la sivyo Kambi Rasmi ya haitashiriki.

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA

KUUNGANA KWA BENKI YA NIC TANZANIA NA BENKI YA COMMECIAL BANK OF AFRICA TANZANIA KUUNDA BENKI MPYA YA NCBA TANZANIA LIMITED KUANZIA TAREHE 8 MWEZI JULAI, 2020

Kibali cha kuungana kutoka kwa mamlaka husika tayari vimeshapokelewa

Benki ya NIC Bank Tanzania Limited (NIC) na benki ya Commercial Bank of Africa (Tanzania) Limited (CBA) imeshapokea vibali vyote kuungana na kuanza kutoa huduma kuanzia tarehe 8 mwezi Julai mwaka 2020 kama benki ya NCBA Bank Tanzania Limited.

Uunganaji utafanyika kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani