Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Athari 12 Za Sheria Mpya Ya Masuala ya Mitandao ( TANZANIA VYBERCRIME ACT, 2015 ) Iliyopitishwa Bungeni


Sheria hii ni muhimu duniani kote na ndio maana hata Tanzania ilikuwa inangojea kupata sheria ya kuongoza masuala ya mitandao yaani Cyber Law kutokana na uhalifu wa aina mbalimbali wa masuala ya mitandao.
Sifa kuu ya sheria ya kuongoza masuala ya mitandao ni kuweka bayana makosa ya mitandaoni na pia kuyatolea adhabu. Sheria hii inayopitishwa kwa dharura madhara yake ni:
Moja, Kifungu 7 (2b): Mpokeaji wa ujumbe (receiver) anaweza kushtakiwa kwa kosa la kupokea ujumbe ambao sheria imeufanya kuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BENKI YA POSTA TANZANIA (KUFUTA NA KUWEKA MASHARTI YA MPITO), 2015 (THE TANZANIA POSTAL BANK {REPEAL AND TRANSITIONAL PROVISION} ACT, 2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. Mohamed Habib J. Mnyaa (Mb) K.n.y Msemaji Mkuu-Kambi Rasmi ya Upinzani, Wizara ya Fedha 29.06.2015.Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MASOKO YA BIDHAA YA MWAKA 2015 (COMMODITY EXCHANGE ACT,2015)

Msomaji wa Maoni hayo Mhe. David Ernest Silinde (Mb) K.n.y Waziri Kivuli- Wizara ya Fedha 29.06.2015Kusoma maoni hayo BOFYA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

9 years ago

Michuzi

Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act).

  1.         Mwezi Machi, 2015, Bunge la 10 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Lilipitisha  Sheria ya Kuratibu Ajira za Wageni Nchini Na.1 ya Mwaka 2015 (The Non - Citizens (Employment Regulation) Act). Sheria hii ilisainiwa na Mheshimiwa Rais mwezi Mei, 2015 na imetangazwa kuanza kutumika rasmi tangu tarehe 15/09/2015 kupitia Gazeti la Serikali Na. 406 la mwaka 2015.


2.          Sheria hii inaanzisha Mamlaka moja ya utoaji wa vibali vya ajira kwa wageni

 na Mamlaka hiyo ni Kamishna wa Kazi. ...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

11 years ago

Habarileo

ACT wataka Katiba mpya baada ya uchaguzi 2015

Samson MwigambaCHAMA kipya cha siasa cha ACT-Tanzania kimeelezea kusikitishwa na mvutano wa makundi ya kisiasa uliowakumba wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba na kushauri, ni vyema Bunge la Katiba likaahirishwa hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani kwa kutumia Katiba ya sasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dhana potofu mitandaoni zina athari gani kwa watumiaji wa mitandao

Nadharia za uongo zimekuwa zikistawi kupitia mitandao ya kijamii hasa zinazohusu virusi vya corona - nyingi zimekuwa mitandaoni na kuleta athari za kiafya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani