Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maonyesho Wiki ya Vijana yashika kasi Tabora

Afisa Ushauri wa Vijana wa UNFPA – Tanzania Bi. Farida Juma malezo kuhusu njia sahihi ya matumizi ya Kondomu kwa baadhi ya vijana waliotembelea banda la UNFPA katika viwanja vya Maonyesh ya Wiki ya Vijana yanayofanyika mjini Tabora.Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Esther Riwa akigawa jarida la Si Mchezo kwa mmoja wa wananchi aliyetembelea banda la Wizara hiyo katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana mjini Tabora.Afisa Utamaduni wa Bodi ya Filamu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Michauno ya vijana Kriket yashika kasi

Michuano ya kriket kwa vijana chini ya umri wa miaka 19 kuendela kutimua vumbi Jijin Dar es Salaa, Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Vijana washiriki mdahala katika Wiki ya Vijana mkoani Tabora

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissuiakizungumza katika mdahalo wa vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa. Mchumi Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas Kileka akitoa mada kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI , VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia baadhi ya picha mbalimbali wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiangalia moja ya vitabu wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF yapima afya bure wananchi wiki ya vijana Tabora

Mkuu wa Mkoa wa Tabota Fatuma Mwasa akisaini kitabu cha wageni kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika maonesho ya wiki ya vijana yanayofanyika kitaifa mkoani humo, aliyesimama ni Meneja wa Mfuko Mkoa wa Tabora. Vijana wakiwa kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakipima afya zao. Katika maonesho hayo Mfuko unaendesha zoezi la upimaji afya bure. Mtaalam wa macho Antony Janken akimpima macho Rehema Majaliwa ambapo huduma ya macho pia inatolewa bandani...

 

9 years ago

Habarileo

Bomoabomoa Dar yashika kasi

WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mapigano yashika kasi Syria

Mapigano yashika kasi nchini Syria wakati ambapo mazungumzo ya Geneva yanaendelea

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya Suma JKT yashika kasi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maandalizi TFCA 2013 yashika kasi

MAANDALIZI ya hafla ya utoaji tuzo kwa makocha wa soka Tanzania ‘Tanzania Football Coaches Awards kwa mwaka jana (TFCA 2013), zinazotarajiwa kutolewa mapema Machi 2014 jijini Dar es Salaam, yanaendelea...

 

11 years ago

Habarileo

Mauaji ya watuhumiwa yashika kasi Mbeya

UTAMADUNI mbovu wa kujichukulia sheria mikononi umezidi kushika kasi mkoani Mbeya baada ya watu wawili kuuawa juzi katika matukio mawili tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani