MAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DISEMBA 17-21, 2014 JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulimalik Mollel, akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani)
Kampuni ya Global Education Link (GEL) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Wizara ya Elimu na Ufundi pamoja na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) wameandaa maonyesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu (TIEE) yanayotarajiwa kufanyika Disemba 17 hadi 21 mwaka huu katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog14 Dec
10 years ago
GPLMAONYESHO YA KWANZA KIMATAIFA YA ELIMU KUANZA DES 10 DAR
10 years ago
MichuziMAONYESHO YA KIMATAIFA YA ELIMU YAANZA LEO JIJINI DAR.
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Maonyesho ya kimataifa ya elimu yaanza katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere SabaSaba jijini Dar
11 years ago
Michuzi03 Oct
10 years ago
MichuziNSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA ABITAT JIJINI DAR ES SALAAM
11 years ago
Vijimambo
RAIS KIKWETE AFUNGUA MAONYESHO YA KIMATAIFA YA UTALII JIJINI DAR LEO




10 years ago
GPLMWANAMUZIKI BILEKU, MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12-2014 UKUMBI WA ASCAPE 1 MIKOCHENI JIJINI DAR
10 years ago
Michuzi
MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.



