Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maonyesho zaidi ya Cosby yaahirishwa

Maonyesho yaliyokuwa yafanywe na Mchekeshaji na muigizaji Bill Cosby yameahirishwa kutokana na shutuma za udhalilishaji

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Show ya Fiesta Musoma yaahirishwa kufuatia ajali ya mabasi 2 iliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 45

Show ya Serengeti Fiesta iliyokuwa imepangwa kufanyika Ijumaa hii imeahirishwa kufuatia ajali mbaya ya mabasi mawili yaliyogongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 45 na wengine kujeruhiwa. Ajali hiyo imehusisha basi la MWANZA COACH T736 AWJ lililogongana na gari lingine la J4 Express T677 CYC. Miili ya marehemu na majeruhi wamepelekwa […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Hospitali za Apollo kuokoa zaidi ya watu 100 katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

Print

Print

Print

Hospitali za Apollo zimekuwa mstari wa mbele kwa teknolojia ya hali ya juu na zinaongoza katika kutoa huduma nafuu za matibabu kwa wagonjwa duniani kote. Apollo wanashiriki kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwa mara ya kwanza.

Hospitali za Apollo ziko hapa kutangaza huduma wanazotoa na kuongeza uelewa  kuhusu Apollo. Wageni mbalimbali wanaotembelea Saba Saba wanaweza sasa kuelimishwa kuhusu huduma mbalimbali na teknolojia zinazotolewa na Hospitali za Apollo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bill Cosby: Wanawake wananisingizia!

Msanii wa Marekani Bill Cosby amewasilisha mashtaka ya kisheria akidai baadhi ya wanawake waliomshtaki walimsingizia wapate fedha

 

10 years ago

BBCSwahili

Sanamu ya Bill Cosby yaondolewa Disney

Sanamu hii ni moja ya maonyesho katika bustani ya Disney Hollywood, mjini Florida ya kuwatambua waigizaji maarufu

 

10 years ago

BBCSwahili

Bill Cosby ashutumiwa kuwa mdhalilishaji

Mchekeshaji na muigizaji maarufu Bill Cosby ashutumiwa kuwadhalilisha Wanawake kijinsia

 

5 years ago

Raia Mwema

Mikosi tata ilivyomwandama Bill Cosby – 3

WAKATI polisi wakiendelea na uchunguzi wa kifo cha mwanaye, Bil Cosby alikuwa bado akiandamwa na

Shaban Kaluse

 

10 years ago

BBCSwahili

Ushahidi wa Cosby watumika dhidi yake

Bill Cosby alikiri miaka kumi iliyopita kununua tembe za kulewesha kuwapa wanawake ambao alitaka kushiriki ngono nao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Msanii wa vichekesho Bill Cosby matatani

Mahakama ya Califonia nchini Marekani imeamuru kesi ya unyanyasaji wa ngono inayomkabili msanii wa vichekesho Bill Cosby iendelee

 

10 years ago

BBCSwahili

Cosby ashtakiwa kwa dhuluma za kimapenzi

Mwigizaji na mchekeshaji mkongwe wa Marekani Bill Cosby ameshitakiwa kwa kumdhulumu kimapenzi mwanamke anayedai kuwa alibakwa na mwigizaji huyo alipokuwa na umri wa miaka 15.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani