Mapambano ktk uwanja wa ndege Tripoli
Makubaliano ya kusitisha mapigano katika uwanja wa ndege wa Tripoli, Libya, yamevunjika na mapambano yamezuka vikali
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Libya:Uwanja wa ndege wa Tripoli watekwa
Muungano wa wanamgambo nchini Libya umeuteka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Tripoli baada ya mapigano makali .
10 years ago
Vijimambo05 Mar
NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iCGf4QxfWQk/Vl2AkT-en2I/AAAAAAAIJeQ/9_U9wAn22Og/s72-c/TBIIB.jpg)
WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE
Watendaji wa mashirika ya ndege nchini wameiomba Serikali kupanua Barabara ya Nyerere ili kuwawezesha abiria wanaosafiri kwa ndege kuwahi usafiri kufuatia ongezeko lao kubwa na la ndege pia linalotarajiwa kufuatia kuwepo kwa jengo jipya la abiria (TB III) linalotarajiwa kukamilika mwaka 2016.
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa ni moja ya...
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa ni moja ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vovp4T1uHu8/Xt-dmTYiB4I/AAAAAAALtMo/x53f2-IE67E3xD-DYST1WirLxBsKGgTpwCLcBGAsYHQ/s72-c/290.jpg)
UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR
Kazi ya ujenzi wa mradi mkubwa wa eneo la maegegesho ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar zimeanza kupamba moto baada ya kusita kwa muda mrefu.
Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.
Makamu wa Pili wa...
Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.
Makamu wa Pili wa...
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA KILIMANJARO
5 years ago
MichuziWAZIRI HASUNGA KWA KUSHIRIKIANA NA (TAHA) AONGOZA WADAU WA HORTICULTURE MAPOKEZI YA NDEGE YA MIZIGO UWANJA WA NDEGE WA (KIA)
10 years ago
Michuzitimu ya wataalam kutoka wizara ya uchukuzi watembelea kituo cha uongozaji ndege Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)
10 years ago
MichuziWATAALAM KUTOKA WIZARA YA UCHUKUZI WATEMBEMBELEA KAMPUNI YA KUHUDUMIA MIZIGO, NDEGE NA ABIRIA YA SWISSPORT INAYOTOA HUDUMA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA)
9 years ago
StarTV14 Aug
Jimbo la Busega lageuka uwanja wa mapambano
1.Baadhi ya wagombea wa chama cha mapinduzi CCM wanaowania nafasi ya Ubunge jimbo la Busega Mkoani Simiyu akiwemo aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Titus Kamani wamepinga Matokeo yaliyotangazwa kwa utata kufuatia uchaguzi wa marudio wa kura za maoni wakidai yamechakachuliwa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania