Jimbo la Busega lageuka uwanja wa mapambano
1.Baadhi ya wagombea wa chama cha mapinduzi CCM wanaowania nafasi ya Ubunge jimbo la Busega Mkoani Simiyu akiwemo aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Titus Kamani wamepinga Matokeo yaliyotangazwa kwa utata kufuatia uchaguzi wa marudio wa kura za maoni wakidai yamechakachuliwa.
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-G-yyX6W78PU/XutCbfygPOI/AAAAAAALuZs/4s5If95k3L4UQ-WuBkSjgrr63P5pMm6kgCLcBGAsYHQ/s72-c/5.jpg)
WILAYA YA BUSEGA YACHUKUA HATUA MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA
Uzinduzi wa upuliziaji wa viwatilifu kwenye madimbwi ya maji ili kuangamiza mazalia ya Mbu wanaosababisha ugonjwa wa malaria umefanyika katika kituo cha afya NASSA na kuhudhuriwa na Kaimu Mkuu wa Wilaya, David Pallangyo, Mganga Mkuu wa Wilaya, Dkt. Godfrey Mbangali, watumishi wa Afya na Maafisa afya kutoka kata zote 15. Zoezi hilo litakalochukua siku nne kuanzia tarehe 17 hadi 20 Juni, 2020 litafanyika katika kata zote 15 na vijiji vyote 59 vilivyopo wilayani Busega.
Kaimu mkuu...
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
Yaliyogubika uchaguzi CCM Jimbo la Busega
AGOSTI 14, mwaka huu saa nne asubuhi lilijiri tukio la kihistoria wakati wa kutangaza matokeo ya
Christopher Gamaina
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Mapambano ktk uwanja wa ndege Tripoli
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s2FhddcFfuc/Vg7vnExfbBI/AAAAAAAH8aI/-AqFxZaFvVI/s72-c/unnamed%2B%252869%2529.jpg)
Maalim seif ahutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni,
9 years ago
Mtanzania21 Dec
Sakata uuzwaji Cocobeach lageuka
Na Jonas Mushi, Dar es Salaam
WAKATI Serikali ikimsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa madai kuwa pamoja na mambo mengine alihusika kuuza ufukwe wa Cocobeach, sakata hilo limevaa sura mpya baada ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na Diwani wa Kata ya Ubungo, Boniface Jacob, kuibuka na kutoa mktaba unaaonyesha kuwa eneo hilo liliuzwa kabla ya Mhandisi huyo kuanza kazi Kinondoni.
Mbunge huyo na Diwani ambao wote wanatoka Chama cha Demokrasia...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Soko lageuka maficho ya vibaka
SOKO lililojengwa katika Kata ya Mjimwema wilayani Njombe mkoani Njombe, limegeuzwa maficho ya vibaka. Gharama halisi zilizotumika kujenga soko hilo, hazijajulikana. Soko hilo lilizinduliwa kwa matumizi ya biashara Novemba 10, 2011.
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Sakatala kuuawa Dk. Slaa lageuka
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kumchunguza Josephine Mushumbusi, ambaye ni mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, anayetuhumiwa kula njama za kumuangamiza.
Uchunguzi dhidi ya Mushumbusi ulitangazwa jana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyia ofisini kwake, Dar es Salaam.
Kamishna Kova alisema...
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Kipindupindu chatua Busega