Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sakata uuzwaji Cocobeach lageuka

Pg 4Na Jonas Mushi, Dar es Salaam

WAKATI  Serikali ikimsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mhandisi Mussa Natty, kwa madai kuwa pamoja na mambo mengine alihusika kuuza ufukwe wa Cocobeach, sakata hilo limevaa sura mpya baada ya Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea na Diwani wa Kata ya Ubungo, Boniface Jacob, kuibuka na kutoa mktaba unaaonyesha kuwa eneo hilo liliuzwa kabla ya Mhandisi huyo kuanza kazi Kinondoni.

Mbunge huyo na Diwani ambao wote wanatoka Chama cha Demokrasia...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Sakatala kuuawa Dk. Slaa lageuka

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kumchunguza Josephine Mushumbusi, ambaye ni mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, anayetuhumiwa kula njama za kumuangamiza.
Uchunguzi dhidi ya Mushumbusi ulitangazwa jana na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova, katika mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyia ofisini kwake, Dar es Salaam.
Kamishna Kova alisema...

 

11 years ago

Habarileo

Soko lageuka maficho ya vibaka

SOKO lililojengwa katika Kata ya Mjimwema wilayani Njombe mkoani Njombe, limegeuzwa maficho ya vibaka. Gharama halisi zilizotumika kujenga soko hilo, hazijajulikana. Soko hilo lilizinduliwa kwa matumizi ya biashara Novemba 10, 2011.

 

9 years ago

StarTV

Jimbo la Busega lageuka uwanja wa mapambano

1.Baadhi ya wagombea wa chama cha mapinduzi CCM wanaowania nafasi ya Ubunge jimbo  la Busega Mkoani Simiyu akiwemo aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo, Titus Kamani wamepinga  Matokeo yaliyotangazwa kwa utata kufuatia uchaguzi wa marudio wa kura za maoni wakidai yamechakachuliwa.

 

 

10 years ago

Vijimambo

Ukweli wa Sakata Zima la Richmond Na Jinsi Lowassa Alivyohusishwa na Sakata Hilo


Kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa amefunguka na kueleza ukweli halisi wa sakata zima la Richmond lililomfanya achukue uamuzi wa kujiuzulu wadhifa wake wa uwaziri mwaka 2008.Katika maojiano maalumu na Mpekuzi,Lowassa amewaka wazi kuwa anapata shida kujua kama tupo makini kusimamia ipasavyo mambo yanayohusu maisha yetu,kwani masihara ya kisiasa yaliyoratibiwa na baadhi ya wabunge ndiyo yaliyosababisha serikali ...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUKANUSHA UUZWAJI HISA TANESCO

Gazeti la 'The Citizen' la Januari 5, 2016 lilichapisha habari katika ukurasa wake wa 12 yenye kichwa cha habari: ‘Umma kununua asilimia 49 ya hisa za Tanesco’.

Taarifa hiyo siyo sahihi.

 

9 years ago

Michuzi

UUZWAJI WA NYUMBA ZA NHC SHANGANI, MTWARA


Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akizungumza  wakati wa uzinduzi wa mauzo ya nyumba za makazi za Shangani mjini Mtwara . Ujenzi  nyumba za makazi za Shangani mjini Mtwara ukiendelea kwa kasi Mchoro wa namna  nyumba za makazi za Shangani mjini Mtwara zitakavyokuwa ujenzi ukikamilikaKwa mara nyingine tena Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo (Jumatano, 16, Septemba, 2015) limezindua rasmi mauzo ya nyumba katika mradi wake mpya wa Shangani,...

 

9 years ago

Global Publishers

Ummy azidi kukemea uuzwaji holela wa matunda

1.Waziri wa afya,Maendeleo ya jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake.Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake.

2.Mwalimu akionesha msisitizo wa jambo alipokuwa akisoma taarifa yake.Mwalimu akionesha msisitizo wa jambo alipokuwa akisoma taarifa yake.

3.Ummy Mwalimu (kushoto) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani).Ummy Mwalimu (kushoto) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani).

4.Mkutano ukiendelea.Mkutano ukiendelea.

TAMKO LILILOTOLEWA NA MHE. UMMY MWALIMU, WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, KUHUSU HALI YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI 28 DESEMBA 2015

Ndugu Waandishi wa Habari,

Ninapenda kutoa taarifa kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Wataka uuzwaji hisa Benki ya Walimu usitishwe

BAADHI ya walimu katika wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza wametaka utaratibu wa kuuziwa hisa katika Benki ya Walimu inayotarajia kuanzishwa Julai, mwaka huu usitishwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani