Mapato, matumizi vyama vya siasa utata
VYAMA 12 vya siasa nchini vilivyokaguliwa hesabu zake na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini (CAG), kwa zaidi ya miaka miwili mfululizo vimepata hati zenye mashaka na hakuna chama kilichopata hati safi. Hayo yamebainishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi wakati akitoa taarifa ya ukaguzi wa hesabu za vyama vya siasa nchini, mbele ya Kamati za Hesabu za Serikali (PAC) jana jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Jan
‘Matumizi makubwa ya fedha vyama vya siasa yanatia shaka’
Wataalamu wa kilimo huwashauri wakulima kuchagua mbegu bora za kupanda kwenye udongo mzuri ulio na rutuba, ili zizae na kuleta mavuno yenye faida.
10 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi
11 years ago
GPL
10 years ago
Michuzi
10 years ago
GPL
USINZIBE MDOMO VIKOSI VYA ULINZI VYAMA VYA SIASA?!
Elnest Mangu. TANZANIA tuna majeshi kadhaa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotambulika kisheria. Tunalo Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza. Chini yake, JWTZ unawakuta JKT, kwa polisi, tunao Zimamoto, FFU, Usalama barabarani (Trafiki) na Mgambo. Majeshi na vikosi hivi vina majukumu yanayofahamika na kukubalika. Kwa hiyo haishangazi tunapoona polisi wakitumika kuwakamata majambazi, ambao wakati mwingine...
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”
Waziri Mkuu...
10 years ago
GPL05 Oct
10 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWEKA VIPENGELE VYA WATOTO KWENYE ILANI ZAO.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
VYAMA vya Siasa nchini katika kuelekea Uchaguzi Mkuu vimetakiwa katika ilani zao, kuweka vipengele vya watoto kutokana na kuwepo kwa sheria kandamizi dhidi ya mtoto.
Hayo wameyasema watoto wakati wa mkutano uliondaliwa na Shirika la Save the Children kupitia Ajenda ya Mtoto inayoshirikisha mashirika 30 yanayojighulisha na masuala ya watoto kwa kuwakutanisha viongozi wa vyama vya siasa na watoto ,katika kujadili nafasi ya mtoto katika ilani zao kuelekea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania