VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWEKA VIPENGELE VYA WATOTO KWENYE ILANI ZAO.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
VYAMA vya Siasa nchini katika kuelekea Uchaguzi Mkuu vimetakiwa katika ilani zao, kuweka vipengele vya watoto kutokana na kuwepo kwa sheria kandamizi dhidi ya mtoto.
Hayo wameyasema watoto wakati wa mkutano uliondaliwa na Shirika la Save the Children kupitia Ajenda ya Mtoto inayoshirikisha mashirika 30 yanayojighulisha na masuala ya watoto kwa kuwakutanisha viongozi wa vyama vya siasa na watoto ,katika kujadili nafasi ya mtoto katika ilani zao kuelekea...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Vyama vya siasa vyatakiwa kuweka utaifa mbele
Vyaonywa maslahi ya vyama yataiweka nchi pabaya
NA KHADIJA MUSSA
VIONGOZI wa vyama vya siasa watakaokwenda kukutana na Rais Jakaya Kikwete, wametakiwa kuweka mbele masuala yanayohusu taifa na si misimamo binafsi ya vyama vyao.
Aidha wasomi nchini wamempongeza Rais Kikwete kwa kukubali kukutana na viongozi wa vyamaa hivyo vya siasa kwa kuwa ni ishara nzuri kwa kiongozi wa nchi kutokuwa na ubaguzi hata kwa watu wasiomuunga mkono.
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukubali...
9 years ago
Habarileo08 Sep
Vyama vya siasa vyatakiwa kutii sheria za nchi
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, amevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, kuheshimu na kutii sheria za nchi hasa sheria ya usajili wa vyama na gharama za uchaguzi.
9 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA KISTAARABU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jjCncTnXX8I/Xp2nnn-zvTI/AAAAAAALnk0/BQBg94azfSMw1hOGnBfyotODZzEd-fQogCLcBGAsYHQ/s72-c/S1.jpg)
VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWA NA OFISI NDOGO ZA MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA
Na: Mwandishi Wetu - ORPP
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ametoa wito kwa vyama vya siasa kufungua ofisi za makao makuu Jijini Dodoma kwa kuwa ndiyo makao makuu ya serikali.
Wito huo umetolea na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, alipotembelea ofisi ndogo za makao makuu ya Chama cha Wakulima (AAFP) jijini Dodoma hivi karibuni.
Nyahoza alisema kuwa Vyama vyote vya Siasa vinatakiwa kuwa na ofisi za makao makuu jijini Dodoma kwa kuwa ndiko shughuli zote za serikali...
10 years ago
Vijimambo03 May
Kiama vyama vya siasa, Mageuzi kuwalazimu kubadilisha Katiba zao, Lengo ni pamoja na kufuta vikundi vya ulinzi
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/JajiMutungi(3).jpg)
Mtikisiko mkubwa unavikabili vyama vya siasa nchini, vinapoandaliwa kufanya mabadiliko ya lazima kwa Katiba zao, ili pamoja na mambo mengine, vifute vifungu vinavyohalalisha uhai wa vikundi vya ulinzi na usalama.
Hatua hiyo inatokana na kubainika kuwapo kwa vifungu vya katiba hizo hasa vinavyohusu uwapo wa vikundi vya ulinzi na usalama na hivyo kukiuka Katiba ya nchi inayotoa haki hiyo kwa majeshi ya ulinzi na usalama.
Taarifa za uhakika...
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-mbMo2RIkhrk/XnN-DtAnxMI/AAAAAAALkdY/0Vq_LBXoi70sQjqjAitQuaYrAUCi-9jrwCLcBGAsYHQ/s72-c/TAARIFA%2BKWA%2BUMMA-%2BOFISI%2BYA%2BMSAJILI%2BWA%2BVYAMA%2BVYA%2BSIASA.jpg)
10 years ago
Habarileo31 Oct
Vyama vya siasa vyakiri mapungufu katika hesabu zao
SIKU chache baada ya kuanikwa kwa taarifa ya ukaguzi wa mahesabu uliofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ikionesha dosari katika hesabu za mapato na matumizi ya karibu vyama vyote vya siasa nchini, baadhi ya vyama hivyo vimekiri udhaifu na kuahidi kufanya marekebisho kulingana na sheria za fedha zinavyoelekeza.