Mapigano yafukuta Rufiji
MGOGORO mkubwa kati ya wakulima na wafugaji huenda unafukuta, sambamba na uharibifu wa mazingira katika wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani baada ya maelfu ya ng’ombe kuzagaa zaidi ya eneo la ardhi lililokuwa limetengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo hao.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Kashfa ya Escrowtageta yafukuta TZ
10 years ago
Mwananchi05 May
Migogoro yafukuta Toto African
10 years ago
Habarileo04 Dec
Rufiji waomba wafugaji wahamishwe
WANAKIJIJI wa Mayuyu wilayani Rufiji mkoani Pwani, wameiomba serikali kuwahamisha wafugaji kwenye kijiji hicho, kutokana na migogoro mingi ya ardhi, inayosababishwa na wafugaji hao, ambao wengi wao wameingia kijijini hapo bila kuwa na vibali.
11 years ago
Mwananchi30 Jul
Ngarambe wavutana na mwekezaji Rufiji
10 years ago
Mwananchi06 Dec
DC awashukia wanaovuna mazao ya misitu Rufiji
11 years ago
11 Feb
Rufiji River crocodile eats woman
Daily News
A WOMAN was killed by a crocodile while drawing water in Rufiji River in Utete District, Coast Region, on Thursday last week, police have said. Coast Regional Police Commander (RPC), Ulrich Matei, said that the woman, who was identified as Mwajabu ...
11 years ago
Mwananchi31 Mar
Ajali mbaya yaua watu 22 Rufiji
11 years ago
Daily News01 Apr
Eight missing after boat capsizes in Rufiji river
Daily News
AT least 8 out of 16 people are missing after a boat they were travelling in capsized in Rufiji River in Utete area in Rufiji District, Coast Region, on Sunday evening. Coast Regional Police Commander (RPC), Mr Ulrich Matei, said that the boat, whose captain ...
10 years ago
Dewji Blog21 Jan
Wilaya ya Rufiji yapokea vifaa tiba
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid akiongea na wananchi wa kata ya Mbwala wilayani Rufiji mkoa wa Pwani Juma Ligomba hivi karibuni kabla ya kukabidhi vifaa tiba ambavyo vitakavyotumika katika zahanati mbalimbali wilayani humo.
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk Seif Rashid amekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 23.8 ambavyo vitakavyotumika katika zahanati mbalimbali wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na...