Mapigano yazuka upya Sudan Kusini
Makubalino ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa Ijumaa kuhusu Sudan Kusini, yavunjwa kama yale ya mwezi Januari
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Mapigano mapya yazuka Sudan Kusini
Mapigano mapya yamezuka katika majimbo matatu nchini Sudani kusini siku chache baada ya pande mbili hasimu kukubaliana kusitisha vita
9 years ago
BBCSwahili13 Dec
Mapigano yazuka upya C.A.R
Mapigano yamezuka katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Bangui kati ya wanaounga mkono na wanaopinga kura ya maoni.
11 years ago
BBCSwahili19 Aug
Mapigano yazuka upya Missouri
Machafuko yazuka upya Ferguson licha ya rais Obama kusihi utulivu urejee
11 years ago
BBCSwahili16 Dec
Makabiliano yazuka jeshini Sudan Kusini
Milio ya risasi imesikika usiku kucha katika kile kinachosemekana na makabiliano kati ya walinzi wa Rais Salva Kiir mjini Juba
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
UN:Mapigano yaendelea Sudan Kusini
Umoja wa mataifa umesema kumekuwepo kwa siku mbili za mapigano katika mji wa Nasir, Sudani ya Kusini.
11 years ago
BBCSwahili02 Jan
Mapigano yanaendelea Sudan Kusini
Mapigano yanaendelea Sudan Kusini licha ya mazungumzo ya amani kuandaliwa nchini Ethiopia
11 years ago
BBCSwahili18 Dec
AU yataka Sudan Kusini kuacha mapigano
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika,Nkosazana Dlamini-Zuma ametoa wito wa kumalizika kwa mapigano nchini Sudan Kusini
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Mapigano mapya Malakal, Sudan Kusini
Mapigano yameshuhudiwa kwenye mji wa Malakal nchini Sudan Kusini kati ya jeshi la serikali na kundi hasimu
11 years ago
BBCSwahili05 May
Mapigano makali yaanza tena Sudan Kusini
Mapigano makali yamekuwa yakiendelea katika mji wa Bentiu nchini Sudan Kusini ambapo vikosi vya serikali vinajaribu kuurejesha mji huo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania