Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mapigano Yemen yakatisha safari ya Rais Uhuru Kenyatta

Uhuru-Kenyatta1NAIROBI, Kenya,

NDEGE iliyokuwa imembeba Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, imelazimika kukatisha safari na kurejea nyumbani baada ya kuwapo hofu ya hali ya usalama katika eneo la anga ya Yemen.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Ikulu ya nchi hiyo, Manoah Esipisu, tukio hilo lilitokea wakati Rais Kenyatta akiwa safarini kuelekea Dubai.

Esipisu alisema hali hiyo ilitokana na changamoto ya usalama baada ya kuwapo kwa mapigano yanayoendelea nchini Yemen baina ya jeshi la nchi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga.  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA

Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete akutana na Rais Uhuru Kenyatta mjini Windhoek, Alhaj Mwinyi na Mzee Mkapa waungana naye sherehe za kuapishwa rais mpya wa namibia

 .Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Windhoek Namibia ambapo walihudhuria sherehe za kuapishwa Rais mpya wa Namibia.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Hoteli ya Safari Court jijini Windhoek Namibia jana.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na marais wastaafu Ali Hassan Mwinyi(kulia) na Benjamin William Mkapa(kushoto) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hosea Kutako jijini...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

 

5 years ago

CCM Blog

HALI MBAYA YA HEWA YAKATISHA SAFARI YA CHOMBO CHA SPACEX

USA Cape Canaveral Startabbruch SpaceX Falcon 9 Rakete (picture-alliance/AP Photo/SpaceX)Roketi kwa jina la SpaceX Falcon 9 lilitarajiwa kuanza safari kutoka Kituo cha Anga cha Kennedy majira ya saa 4:33 usiku kwa majira ya Marekani, kikiwabeba wanaanga Doug Hurley na Bon Behnken kwa safari ya masaa 19, wakiwa kwenye chombo chenye muundo mpya kiitwacho Crew Dragon kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga.Kampuni ya SpaceXinayomilikiwa na bilionea Elon Musk nchini Marekani ndio iliyounda chombo hicho, na safari hiyo ingekuwa ya kwanza kufanyika na wanaanga wa Shirika la Anga za Juu la...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amefika mbele ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC huko Hague, ambako anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binaadamu.

Yeye ni kiongozi wa kwanza wa taifa kuwasili mbele ya mahakama hiyo.

Kenyatta amefika mbele ya mahakama hiyo baada ya waendesha mashtaka kuishutumu serikali ya Kenya kukata kuwasilisha ushahidi muhimu. BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Kibarua kinachomkabili Rais Uhuru Kenyatta

Mashambulizi yamekuwa yakirindima kaskazini mwa Kenya huku Rais Uhuru Kenyatta akikabiliwa na shinikizo za kujizulu kwa kushindwa kukabiliana na utovu wa usalama

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS MAGUFULI NA UHURU KENYATTA WAYAMLIZA

  “Juzi nilipigiwa simu na Kenyatta nikiwa bado Chato, akanipa pole na kujielezea mambo ya corona kidogo, leo pia mimezungumza nae pia, kuna kimgogoro kule mpakani mwa Kenya, Kenya ni Marafiki zetu, corona isiwe chanzo cha migogoro, sisi Marais tumeyamaliza”-Rais Magufuli akiwahutubia Wananchi Singida.

“Mimi na Kenyatta tumeongea kwenye simu tumeyamaliza, naagiza ndani ya wiki hii, Waziri wa Uchukuzi na Timu yake wakakutane na Waziri wa Kenya kule mpakani wakiwa na Wakuu wa Mikoa ya mipakani...

 

11 years ago

Mwananchi

Westgate: Maswali kwa Rais Uhuru Kenyatta

>Wakenya wangali wanasubiri tume aliyoahidi Rais Uhuru Kenyatta  baada ya tukio la kigaidi katika jengo la Westgate hasa baada ya uamuzi wa Kamati ya Bunge kuhusu Usalama, ambayo ilisema Serikali ya Kenya ilionywa takriban siku 19 kabla ya uvamizi huo lakini haikuchukua hatua yoyote.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani