MAPITIO YA MAGAZETI LEO KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI
![](http://img.youtube.com/vi/9EhsMIwDS50/default.jpg)
SIMU.TV: Babu Seya na mwanawe watua mahakama ya Afrika, Bi Simba anusurika kifo Dar. Pitia habari za magazetini hapa; https://youtu.be/9EhsMIwDS50
SIMU.TV: Watumishi wa serikali wametikiswa.Unataka kujua sababu ya mtikiso huo? Pitia magazeti ya leo Novemba 9.2015; https://youtu.be/2n1ZQqzwVss
SIMU.TV: Joto la waziri mkuu. Mawaziri lazidi kupanda. Wazanzibari waguswa na Dk.Magufuli. Ni katika magazeti ya leo; https://youtu.be/BAK7Ek_Rjfc
SIMU.TV: Samatta atwaa taji Afrika, Pluijm agomea usajili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dFvaCQdV8aU/default.jpg)
MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI
SIMU.TV: Ziara za ghafla za rais Magufuli zazua matumaini hofu na wasiwasi. Watalii waendelea kumiminikaTanzania licha ya uchaguzi; https://youtu.be/dFvaCQdV8aU
SIMU.TV: Mazungumzo ya Shein, Seif yapongezwa , CHADEMA waanika vigezo viti maalum. Ni katika magazeti ya leo. November 11, 2015; https://youtu.be/7oqCFYO_73I
SIMU.TV: NGO yakomesha udhalilishaji soko la Tabata, NEC yapongeza waandishi wa habari. Pitia dondoo za magazeti ya leo hapa Simu.tv; https://youtu.be/LNVKjHDX--M
SIMU.TV: Simba...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/UPucMJf1cO8/default.jpg)
MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI LEO
SIMU.TV: Seif, Shein wateta ikulu Zanzibar. Wawakilishi CUF wazidi kuing’ang’ania ZEC. Wabunge watumia vyeti kuhalalisha ushindi CUF; https://youtu.be/FLs0DyJ1VMs
SIMU.TV: Helen Simba ahamishiwa ICU, Ubunge viti maalum yaivuruga CHADEMA. Uganda yanunua hospitali Tanzania; https://youtu.be/z5MdQ7ROUxs
SIMU.TV: Samatta,...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/1hm7HXxQbBc/default.jpg)
MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI
SIMU.TV: Wanafunzi walimishwa mashamba ya walimu kwa sh.200/-, matrafiki 57 Pwani waondolewa; https://youtu.be/1hm7HXxQbBc
SIMU.TV: Stars matumaini kibao Algeria, Samatta, Ulimwengu walala sakafuni taifa, kocha mpya Simba apewa masharti mawili magumu; https://youtu.be/t0AxmnMMoVU
SIMU.TV: Siri ya uchaguzi Zanzibar yafichuka, ada elekezi shule...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/5N3StIbFYsY/default.jpg)
MAPITIO YA MAGAZETI KUTOKA VITUO VYA TELEVISENI LEO
Ndalichako kuanza na shule za sekondari za serikali, Askari waliofanya mauji ya kinyama kizimbani. Pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/_72hzpy1xt8
Star TV
Mawaziri wapya watangaza kiama, IGP Mangu alifumua jeshi la polisi, serikali yastukia vifaa vya tiba asili na mbadala. https://youtu.be/5N3StIbFYsY
Ch 10
Bosi Zantel auawa kinyama kwa risasi, Waziri Maghembe amshukia Kinana, Magufuli na Lowassa wamtesa Gwajima. Pata dondoo hizi hapa. https://youtu.be/4rDMqlAJx8A
Azam...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/U738e8-n71o/default.jpg)
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI NCHINI
Makamo wa raisi Bi Samia Suluhu apokelewa katika ofisi zake huku akiaahidi kushughulikia changamoto wanazokabiliana nazo katika ofisi hizo. https://youtu.be/caPRR2aT1vI
Kufuatia sintofahamu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar Raisi Dr.Shein akutana na Maalim Seif katika ikulu visiwani Unguja. https://youtu.be/U738e8-n71o
Hofu ya kipindupindu yaukabili mkoa wa Kagera baada ya wagonjwa kadhaa kupokelewa hospitali wakihofiwa kuwa na dalili za ugonjwa huo. https://youtu.be/rryYsjdheAQ
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Habari kutoka vituo vya televisheni mbalimbali nchini
SIMU.TV: Changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama yazidi kuwatesa wakazi wa Kiwangwa visiwani Zanzibar https://youtu.be/t-rNSt_gLAQ
SIMU.TV: Wakulima mkoani Lindi wamepewa changamoto kulima mazao mengine ya chakula na biashara licha ya mafanikio makubwa ya zao la korosho; https://youtu.be/kN8jcDnkM6U
SIMU.TV: Waziri George Simbachawene amemteua mhandisi Ronald Lwakatare kuwa kaimu mtendaji wa mabasi yaendayo kasi DART.https://youtu.be/rI4R65O29Yo
SIMU.TV: Hospitali teule ya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/kkbIxThh61Y/default.jpg)
HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI LEO
9 years ago
Dewji Blog30 Dec
Habari kutoka vituo mbalimbali vya televisheni leo!!
Kashfa mpya yaibuka bandari ya Dar es salaam baada ya makontena zaidi ya elfu 11 na magari zaidi ya elfu 2 kutolipiwa ushuru. https://youtu.be/y0Z9BCqcUWM
Zikiwa zimebaki siku 7 kabla ya kuanza tena kwa zoezi la bomoa bomoa, hofu yatanda jijini Dar es salaam baada ya maafisa zaidi ya 100 kutoka baraza la mazingira NEMC kusambaa maeneo ya mabondeni kuweka alalma za X kwenye nyumba zilizoko eneo hilo. https://youtu.be/MuyO1r86PL4
Upatikanaji wa huduma muhimu ikiwa ni vyakula pamoja na mavazi...
9 years ago
CCM Blog![](http://img.youtube.com/vi/u52jMi7b1Kc/default.jpg)