MAPOKEZI YA ALVARO NEGREDO VALENCIA, HISPANIA
![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
Mshambuliaji kutoka nchini Hispania Ãlvaro Negredo Sánchez amepata mapokezi makubwa mara baada ya kurejeshwa nyumbani kwa mkopo akitokea kwa mabingwa wa soka nchini Uingereza Man City. Negredo alipata mapokezi kutoka kwa mashabiki 15,000 wa klabu ya Valencia ambao walijitokeza kwenye uwanja wa Mestalla kwa ajili ya kumlaki wakati wa hafla fupi ya kumtambulisha. Mshambiki wa Valencia wengi wao walikuwa hawaamini kama ni...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jan
Messi atupia mbili Barca, Negredo apiga tatu City
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Boss wa UN, Alvaro Rodriguez atembelea Sabasaba, asema maonyesho ni fursa ya kujifunza
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Jacqueline Mneney Maleko (wa tatu kushoto) akiongozana na Mratibu Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (wa pili kushoto) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, barabara ya Kilwa, jijini Dar.(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania...
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Alvaro Rodriguez afunga mkutano wa kujadili afya na vifo kwa mtoto Tanzania
![Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0270.jpg)
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.
![Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi baada ya mijadala ya makundi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0242.jpg)
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini...
10 years ago
Vijimambo01 Jul
Alvaro Rodriguez afunga Mkutano kujadili Afya na Vifo kwa Mtoto Tanzania
![Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) Nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza alipokuwa akifunga mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0270.jpg)
![Baadhi ya Washiriki wa Mkutano unaojadili mchango wa haki za binadamu unavyoweza kuboresha huduma za afya kwa watoto na kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano (5) nchini Tanzania, wakiwasilisha kazi baada ya mijadala ya makundi.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_0242.jpg)
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Mratibu wa UN nchini, Alvaro Rodriguez ziarani Mkoani Singida kukagua miradi ya shirika hilo
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Kone alipomtembelea na kufanya mazungumzo ofisini kwake jana mjini Singida.
Na Modewjiblog team, Singida
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone ofisini kwake kwa ajili ya kubadilishana uzoefu wa...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74593000/jpg/_74593841_74593794.jpg)
Valencia CF 3-1 Sevilla (agg 3-3)
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Valencia, Celtic na Shaktar zapeta
9 years ago
BBC![](http://c.files.bbci.co.uk/1C4F/production/_85274270_abdennour_getty.jpg)
Valencia sign Abdennour from Monaco
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/72626000/jpg/_72626100_keita.jpg)
Mali midfielder Keita joins Valencia