Mapokezi yamliza Lembeli Kahama
Mbunge wa Kahama, James Lembeli, ambaye hivi karibuni alitangaza kuihama CCM na kujiunga na Chadema, kwa mara ya kwanza amepokewa na umati mkubwa mjini Kahama hali iliyomfanya aangue kilio akiwa jukwaani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Sep
Lembeli aita wanaotaka Jimbo la Kahama
11 years ago
Mwananchi08 Jul
MALALAMIKO: Lembeli ataka madiwani wazembe Kahama wazomewe
11 years ago
TheCitizen03 Apr
CCM in Kahama faults cadre Lembeli on Union structure
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
Mbunge wa Kahama, James David Lembeli aondoka CCM na kujiunga rasmi na CHADEMA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, James David Lembeli, akizungumza na waandishi wa habari Hoteli ya Blue Pearl Ubungo Dar es Salaam leo...
10 years ago
GPLMBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA
10 years ago
VijimamboBREAKING NEWS: MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA
10 years ago
MichuziBREEKING NEWSSSSS:MBUNGE WA KAHAMA, JAMES DAVID LEMBELI AONDOKA CCM NA KUJIUNGA RASMI NA CHADEMA
KWA HABARI ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
GPL
KUMBUKUMBU YA JESHINI YAMLIZA JB
10 years ago
Mtanzania10 Feb
‘Sijazoea’ yamliza mke wa AT
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
MWIMBAJI wa muziki wa mduara, Ally Ramadhani ‘AT’, amesema ameshangazwa kwa mara ya kwanza kumuona mkewe akitoa macho baada ya kusikia wimbo wake mpya wa ‘Sijazoea’.
Akizungumza na MTANZANIA jana, AT alisema, mkewe amekuwa hana kawaida ya kusikiliza nyimbo zake, lakini ameshangazwa kumuona akiusikiliza wimbo huo na kulia.
“Kitendo hicho kimenifurahisha sana na nimejiona nimefanya kazi nzuri, mke wangu yupo tofauti, hapendi na wala hatakagi kusikiliza kazi...