Mapumziko Siku ya Mapinduzi yakanganya wengi
 Uamuzi wa Rais Jakaya Kikwete kutangaza Watanzania Bara kuungana na wenzao wa Zanzibar kupumzika kusherehekea Sikukuu ya Mapinduzi, kumezua mkanganyiko kwa wafanyakazi na watu wa kada mbalimbali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Leo siku ya mapumziko
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza leo ni siku ya mapumziko kwa Watanzania wote kusherehekea Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano...
9 years ago
Michuzi04 Nov
NEWS ALERT: KESHO ALHAMISI NI SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/rais-kikwete1.jpg?width=650)
RAIS JK ATANGAZA KESHO KUWA SIKUKUU NA SIKU YA MAPUMZIKO
9 years ago
Bongo504 Nov
Kikwete atangaza kesho (Alhamisi) kuwa siku ya mapumziko
![President-Kikwete-of-Tanzania](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/President-Kikwete-of-Tanzania-300x194.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameamua na ameitangaza kesho, Alhamisi, Novemba 5, mwaka huu, 2015, kuwa Sikukuu na siku ya mapumziko.
Rais Kikwete amefanya uamuzi huo, ili kuwawezesha Watanzania kushiriki katika sherehe za kuhitimisha Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nne na kuingizwa madarakani Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Dar es Salaam leo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BlSO3TVinjkKiLEnGK2cgzohiX86XsYI6If87eKfz*xax23h8iJbYutT-HlpsF70lHeeNFygKPH34d-l*mDqaFb2djsPNN6U/IKULU.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE ATANGAZA JUMATATU JANUARI 13, 2014 SIKU YA MAPUMZIKO
10 years ago
Bongo Movies09 Apr
Picha:Siku ya Leo Hizi za Kidoti Zimependwa na Wengi
Picha za mrembo anaefanya vitu vingi hapa mjini kuanzia mitindo, utangazaji,ujasiliamali hadi uimbaji wa muziki, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ alizozitupia leo kwenye ukurasa wake wa mtandaoni zimepokea’ LIKES’ na COMMENTS kutoka kwa wadau na mashabiki wa kike na wakiume huu kila mmoja akisema lake juu ya picha hizo.
Yote kwa yote Kidoti hapo ametokelezea ile sana, kwa upande wetu hizi za Kidoti ndio picha bomba zaidi kwa siku ya leo kati ya za mastaa wote wa Bongo Movies.
Tupia mtazamo wako...
10 years ago
MichuziSIKU YA PSPF YAFANA SABASABA WENGI WAJIUNGA NA MFUKO
Siku ya PSPFiliyoandaliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF ilifana na kuvutia mamia ya wananchi waliotembelea maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yaliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.Siku hiyo ni maaluma kwa ajili ya kutoa elimu ya Mfuko wa PSPF kwa umma ili waweze kupata uelewa mpana wa sekta ya Hifadhi ya Jamii hususan bidhaa na huduma zinazotolewa na PSPF, kwa mwaka huu, PSPF ililenga kuhimiza watanzania kujiunga na...
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Kampuni ya Tigo yatoa zawadi za siku ya Mapinduzi kwa wateja wake Zanzibar
Mwakilishi wa jimbo la Wamtipura Zanzibar, Mh.Hamza Hassan Juma (kushoto) akipokea zawadi ya Tigo kutoka kwa Meneja wa Mawasiliano wa kampuni hiyo, Bw. John Wanyancha wakati wa maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar.
Ofisa wa Tigo Zanzibar, Fredy Mugule akikabidhi zawadi kwa Fatuma Suleiman kwenye maadhimisho ya sherehe za Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika kwenye Duka la Tigo Malindi .
Ofisa wa Tigo Zanzibar Fredy Mugule akikabidhi zawadi wa Thuwayba Ali kwenye maadhimisho ya...