Marais wa Afrika wapinga kuondolea hatamu ya tatu
Viongozi wa Afrika Magharibi wamekatalia mbali pendekezo la kuondolewa kwa hatamu ya tatu
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 May
Marais wa Afrika wapinga kuondoa hatamu ya 3
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/04/23/150423151130_asia_africa_summit_epa_640x360_epa_nocredit.jpg)
Marais wa Afrika wapinga kuondolea hatamu ya tatu
Viongozi wa Afrika Magharibi wamepinga pendekezo la kuondolewa kwa hatamu ya tatu .
Aidha marais wa Togo na Gambia wamepuzilia mbali pendekezo la kuondolewa kwa hatamu ya tatu.Marais hao ambao walikutana katika hafla ya viongozi huko Ghana walikataa katakata kubadili katiba za mataifa yao ilikumruhusu rais kutawala kwa vipindi viwili na kisha aondoke madarakani ili mwengine achaguliwe.
Mataifa hayo mawili yanaruhusu rais kutawala hadi...
10 years ago
StarTV21 May
Marais wa Afrika Magharibi wapinga kuondoa hatamu ya 3
Viongozi wa Afrika Magharibi wamepinga pendekezo la kuondolewa kwa hatamu ya tatu .
Aidha marais wa Togo na Gambia wamepuzilia mbali pendekezo la kuondolewa kwa hatamu ya tatu.
Marais hao ambao walikutana katika hafla ya viongozi huko Ghana walikataa katakata kubadili katiba za mataifa yao ilikumruhusu rais kutawala kwa vipindi viwili na kisha aondoke madarakani ili mwengine achaguliwe.
Mataifa hayo mawili yanaruhusu rais kutawala hadi ataposhindwa.
Viongozi wengi barani Afrika wameibuka...
9 years ago
Bongo510 Nov
Hizi ni nchi 6 Afrika ambazo marais wake wa sasa ni watoto wa marais waliopita
![nyerere_karume_and_moyo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/nyerere_karume_and_moyo-300x194.jpg)
Suala la mtoto wa rais kuja kugombea urais lilionekena kama tatizo na linaendelea kuonekana kama tatizo barani Afrika lakini mambo si kama hivyo wanavyodhani waafrika wengi.
Mwezi uliopita, waziri mkuu wa Canada ambaye ni mtoto wa Justin Trudeau aliyekuwa waziri mkuu wa 15, alichaguliwa kuongoza serikali ya nchi hiyo.
Ingawa hali hiyo si ya kawaida kwenye nchi nyingi duniani, hali hiyo hiyo iliweza kushuhudiwa nchini Marekani pale ambapo Rais wa awamu ya sita John Quincy Adams alichaguliwa...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
CHADEMA wapinga wake wa marais kuanzisha taasisi
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewatuhumu Rais Jakaya Kikwete na Rais mstaafu Benjamin Mkapa kwa kugeuza Ikulu kuwa kituo cha kuanzisha taasisi binafsi. Shutuma hizo zilitolewa juzi na Mkurungenzi...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jan
Wapinga serikali tatu
KAMATI ya vijana wapenda amani na viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa wito kwa vijana kupinga pendekezo la serikali tatu lililomo kwenye rasimu ya pili ya Katiba. Akizungumza na waandishi...
10 years ago
Vijimambo15 Jun
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA HUKO AFRIKA KUSINI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1165.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2124.jpg)
10 years ago
MichuziMAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqJQ6ZpBHfE5Bkp-CbiZZZo2k5LL8ejpnNGf9LXxyO0qWYppy16bFCbX4Zdj7f8iTnlO-kehxRKLQFOgpxS5H-Il/ooooooooooooo.jpg?width=650)
MARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
Marais wa Afrika walivyojikwatua Marekani