Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAREHEMU APOSTLE JOHN KOMANYA


Marehemu Apostle John KomanyaTaarifa ambazo zimetufikia alfajiri ya leo na kisha kuthibitishwapunde, zinaeleza kwamba Askofu Mkuu na mwanzilishi wa kanisa laCathedral of Joy (CoJ), Apostle John Komanya, amefariki dunia alfajiriya saa kumi kwenye hospitali ya HIndu Mandal, jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mchungaji msaidizi wa kanisa hilo, Abel John Kigeli,ameieleza GK kwamba Apostle Komanya alikuwa akisumbuliwa na maradhi yakisukari pamoja na typhoid, na kwamba siku za nyuma alikuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

APOSTLE JOHN KOMANYA KUZIKWA JUMATANO MAKABURI YA SEGEREA, DAR

Apostle John Komanya akiwa studio za Global TV Online enzi za uhai wake. MAZISHI ya Askofu Mkuu na Mwanzilishi wa Kanisa la Cathedral of Joy (CoJ), Apostle John Komanya, yanatarajia kufanyika Jumatano, Julai 8, mwaka huu katika Makaburi ya Tabata-Segerea jijini Dar es Salaam. Apostle John Komanya akiwa na mkewe. Apostle Komanya alifariki dunia usiku wa kuamkia jana akiwa katika Hospitali ya HIndu Mandal, jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA

Rais wa Jakaya kikwete na Mama Salma Kikwete watoa pole na Kuifariji Familia ya Mbunge wa Mbinga magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwake Mbezi Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aifariji familia ya marehemu John Edward Mchechu

1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam julai 23, 2015 kumpa pole kufuatia kifo cha Baba yake aliyekuwa anaugua ugonjwa wa kiharusi.

Marehemu atasafirishwa kuelekea Muheza, Tanga kwa ajili ya Mazishi. Mazishi yatafanyika Kijiji cha Enzi, Muheza – Tanga siku ya Jumamosi tarehe 25/07/2015.(PICHA ZOTE NA KIKOSIKAZI CHA...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifarijifamilia ya Mbunge wa Mbinga...

 

11 years ago

Michuzi

Ratiba ya mazishi ya marehemu mzee john fedha macha dar es salaam na moshi

Mazishi ya Mzee John Fedha Macha (pichani), Mfanyabiashara maarufu na mmiliki wa Bamboo Bar ya Kinondoni (jirani na makaburi ya Kinondoni)  jijini Dar es salaam, ambaye alifariki dunia Jumatatu Julai 21,  2014 katika hospitali ya TMJ Mikocheni alikokuwa akitibiwa, yanatarajiwa kufanyika siku ya Ijumaa Julai 25, 2014 kijijini kwake Kirua Vunjo, Moshi, mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa ratiba iliyopatikana na Globu ya Jamii, Shughuli za kuaga mwili wa marehemu zitafanyika nyumbani kwake...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO‏

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo

Capt John Damian Komba2

Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake.

257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani