Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani kumteua balozi wa Somalia

Rais Barack Obama apanga kumteua balozi wake nchini Somalia mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 20

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.

 Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi   Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho  Ikulu ya Marekani(White House).  Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akutana na Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake

Kampuni ya Ms Shimoja  yenye Makao Makuu yake katika Jimbo la Michigan  Nchini Marekani iko mbioni kutaka kuanzisha kituo cha Matangazo ya Televisheni Mjini Dar es salaam Nchini Tanzania kitakachotoa huduma ndani ya Ukanda wa Afrika Mashariki.
Mkurugenzi wa Kampuni hiyo ambae pia ni Balozi wa Heshima wa Tanzania Nchini Marekani Dr. Robert Shumake alieleza hayo wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisini kwake katika Jengo la Msekwa ndani ya viunga vya...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE

Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE


Mhe. Liberata Mulamula, Balozi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania nchini Marekani amemkaribisha Mhe. Ammon Mutembwa, Balozi mpya wa Jamhuri ya Zimbabwe Ubalozini Tanzania House, Washington DC, Marekani, Jumatano Novemba 26, 2014. Katika mazungumzo yake na Balozi Mutembwa, Mhe. Balozi Mulamula alimweleza Balozi huyo kwamba ajisikie kwamba yuko nyumbani. Mhe. Mulamula aliendelea kwa kusema kwamba Tanzania na Zimbabwe zina mahusiano ya kihistoria na kwa msingi huo ni vyema kutafsiri kwa vitendo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Somalia yafunga balozi 9

Balozi 9 za nchi ya Somalia zimefungwa katika mataifa kadhaa ya ng'ambo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hatukushambulia raia Somalia:Marekani

Marekani imesema kuwa bado inatafakari matokeo ya shambulio la anga lililofanyika Kusini mwa Somali.

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAREKANI KATIKA HAFLA YA KUWAAGA ITAKAYOFANYIKA JUMAMOSI TAREHE 25 JULAI 2015.





 The Ambassador of the United Republic of Tanzania


                                                      to the United States of America
 H.E. Ambassador Liberata Mulamula

 


has the pleasure to cordially invite you
 to a Barbeque Farewell


 Saturday, July 25th 2015
from Three - Seven in the evening (3:00 – 7:00pm)

at 


 Ambassador’s Residence


1 Highboro Court
Bethesda, MD...

 

9 years ago

BBCSwahili

Somalia yafungua tena ubalozi Marekani

Somalia itafungua tena ubalozi wake nchini Marekani leo miaka 25 baada ya ubalozi huo kufungwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki ya Marekani yafunga huduma Somalia

Benki moja nchini Marekani inayoshughulikia asilimia themanini ya fedha zinazotumwa nchini Somalia itafunga huduma yake Ijumaa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani