Marekani yaombwa silaha Ukraine
Mkuu wa baraza la kamati ya mahusiano ya Marekani ameiomba nchi yake kupeleka silaha Ukraine ili kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Marekani itapeleka silaha Ukraine?
Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa Marekani inatafakari kupeleka silaha Ukraine kukabili waasi.
10 years ago
BBCSwahili06 Mar
Bunge la US lataka Ukraine ipewe Silaha
Wakuu wa bunge la wawakilishi Marekani wamemwandikia barua Rais Obama wakimtaka kutoa silaha kwa Ukraine ili kupambana na waasi
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Marekani yawadondoshea wakurdi silaha
Ndege za kijeshi za Marekani zimedondosha silaha kwa wapiganaji wa kikurdi wanaolinda mji wa Kobane kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State .
9 years ago
BBCSwahili05 Jan
Obama kutangaza kudhibiti silaha Marekani
Rais wa Marekani Barack Obama amesema ana matumaini kuwa mpango wake binafsi wa kudhibiti silaha nchini Marekani ni wa kikatiba.
9 years ago
BBCSwahili06 Jan
Obama aweka mikakati ya silaha Marekani
Rais Obama amebainisha wazi mipango yake juu ya kuweka mikakati thabiti dhidi ya udhibiti silaha za moto nchini Marekani.
9 years ago
BBCSwahili13 Oct
Marekani yatoa silaha kwa waasi Syria
Jeshi la Marekani limetoa zaidi ya tani 45 za silaha kwa waasi wanaopambana na wanamgambo wa Islamic State (IS)
11 years ago
BBCSwahili07 Feb
Marekani na EU njia panda kuhusu Ukraine
Marekani imejipata taabani baada ya mazungumzo ya wanadiplomasia wake wakuu kubainisha kuwa inapendelea upinzani Ukraine
11 years ago
BBCSwahili13 Apr
Marekani yaionya Urusi kuhusu Ukraine.
Marekani imeonyesha wasiwasi wake kuhusu kile ilichokitaja kama hatua ya Urusi kuchochea ghasia mashariki mwa Ukrain.
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Urusi ina Majeshi Ukraine:Marekani
Marekani imeilaumu Urusi kwa kuweka mfumo kujihami na mashambulizi ya anga Mashariki mwa Ukraine
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania