Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekani yatangaza hali ya hatari mjini Washington kutokana na wimbi la virusi vya corona

Meya wa Washington DC, Muriel Bowser huko Marekani usiku wa kuamkia leo ametangaza hali ya hatari katika mji huo baada ya kuenea wimbi la maambukizi ya virusi hatari vya corona.

Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA, wakuu wa jiji la Washington DC wametangaza hali ya hatari katika jiji hilo na kupiga marufuku mikusanyiko ya watu wanaozidi elfu moja.

Kwa mujibu wa taarifa rasmi za maafisa wa afya wa Marekani, hadi hivi sasa zaidi ya watu elfu moja na mia moja wameambukizwa virusi vya corona...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wimbi la pili la maambukizi Marekani 'huenda likawa hatari zaidi'

Maafisa wa afya wa ngazi ya juu wa nchini Marekani wameonya wimbi jipya la maambukizi ya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Uhamiaji wa nchini Marekani kusitishwa kutokana na janga la corona, asema Trump

Marekani ina jumla ya wagonjwa wa corona 782,159 na vifo 41,816 kutokana na virusi hivyo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Hatari ya kuambukizwa corona Dar es Salaam ipo juu yasema Marekani

Hatari ya kupata maambukizi ya Corona jijini Dar es Salaam ni kubwa sana. Licha ya kwamba taarifa hazitolewi mara kwa mara, ubalozi wa Marekani Tanzania waeleza.

 

5 years ago

Michuzi

DRC yatangaza hali ya dharura kwa ajili ya kukabiliana na virusi vya Corona

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza hali ya dharura na kuufunga mji mkuu wa Kinshasa kujitenga katika hatua ya kupambana naa maambukizi ya virusi vya Corona.

Rais Félix Tshisekedi alitangaza kuchukua hatua hizo jana jioni kupitia televisheni ya taifa.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa, pamoja na kufunga mipaka ya nchi, kusitisha safari za ndani na nje ya mji mkuu zikiwemo za mabasi, ndege na majini, utekelezaji wa haraka unahitajika.

Mpaka sasa Jamhuri ya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wimbi la pili la corona likoje na linaweza kutokea vipi?

Virusi vya corona havitaisha hivi karibuni. Baadhi ya nchi bado zinashughulikia mlipuko mkubwa, lakini hata zile ambazo zimeweza kudhibiti virusi zinahofia "wimbi la pili"

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yarekodi vifo vingi zaidi vya virusi vya corona kwa siku

Marekani imerekodi vifo vingi vya ugonjwa wa virusi vya corona kwa siku huku watu 1,736 wakifariki siku ya Jumanne.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Nadharia za uongo kuhusu virusi vya corona kati ya Marekani na China

Tangu mlipuko wa virusi vya corona kutokea nadharia zisizo za kweli kuhusu chimbuko na ukubwa wa janga la corona ni miongoni mwa yaliyoenea kwenye mitandao.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona:Bosi wa Amazon azoa bilioni 24 kutokana na mlipuko wa virusi

Matajiri 500 duniani wamepoteza kiasi cha dola bilioni 553 kwa mwaka huu mpaka hivi sasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mtaalamu wa chanjo 'aliyefutwa kazi' asema Marekani itakabiliwa na hali mbaya zaidi katika majira ya baridi

Afisa wa zamani wa ngazi ya juu wa afya nchini Marekani ameliambia bunge la kongresi kuwa nchi inaweza kukabiliwa na "kipindi kibaya zaidi cha majira ya baridi kuwahi kushuhudiwa katika historia ya hivi karibuni " kwa sababu ya virusi vya corona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani