Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marekebisho CCM Kirumba utata

Katika hali isiyo ya kawaida wamiliki wa Uwanja wa CCM Kirumba, ambao ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanarushiana mpira na kushikwa wakishikwa na kigugumizi kuzungumzia ukarabati wa uwanja huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Mashabiki wa soka wapungua Uwanja wa CCM Kirumba.

Kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais wabunge na madiwani  nchini  Oktoba 25 pamoja na mchezo kati ya Yanga na timu ya Mwadui  ya mkoani  Shinyanga ni  miongoni mwa sababu ambazo zimetajwa  kuchangia mashabiki  kutoingia katika uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mchezo wa ligi kuu baina ya Toto African ya Mwanza na  JKT Mgambo

Huku Ligi kuu ikiwa  imeingia katika raundi ya tisa ushindani mkali unazidi kuongezeka,

Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Toto African ya jijini Mwanza Godwin Aiko...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kivumbi Miss Lake Zone kutimka CCM Kirumba leo

SHINDANO la Miss Lake Zone 2014, leo linakwenda kufikia tamati katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini hapa kwa warembo 18 kujimwaga jukwaani kuwania taji la kinyang’anyiro hicho kilichovuta hisia za...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS TAYARI KUWAKABILI MALAWI KESHO CCM KIRUMBA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars - pichani)) leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya taifa ya Malawi (The Flames) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa bei za sh. 5,000 kwa mzunguko, sh. 12,000 kwa jukwaa kuu na sh.20,000 kwa viti vya jukwaa kuu maalum. Taifa Stars inashika nafasi ya 100 katika...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA KUBWA LA UJASIRIAMALI LAZIDI KURINDIMA NDANI YA CCM KIRUMBA, MWANZA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers Ltd na Mwalimu wa Ujasiriamali nchini, Eric James Shigongo akiwasalimia wakazi wa Mwanza leo. Eric Shigongo akimkaribisha mkufunzi wa masuala ya ujasiriamali, James Mwang'amba aongee na wakazi wa Mwanza leo.…

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza yafana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba

Wasanii mbalimbali jana August 9 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza. Diamond na Linah Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba. […]

 

11 years ago

Dewji Blog

Rebecca Malope atikisa jiji la Mwanza mwendelezo wa Tamasha la Pasaka CCM Kirumba

1

Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa mbele ya mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza jioni hii katika tamasha kubwa la Pasaka linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, baada ya lile la Shinyanga ambalo lilifanyika jana kwenye uwanja wa Kambarage mkoani humo, watu wengi wamefurika katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo pia Mbunge wa jimbo la Sengerema (CCM) Mh.William...

 

10 years ago

Michuzi

WALIMU KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA CCM KIRUMBA JIJINI MWANZA

Kuona taswira kibao za maandamano ya wafanyakazi hapo Kirumba BOFYA HAPA

 

9 years ago

StarTV

Ligi daraja la pili Alliance Sports yaanza vema nyumbani  CCM Kirumba.

 

Hekaheka za kuwania nafasi ya kufuzu kuingia ligi daraja la kwanza Tanzania Bara zimeanza katika uwanja wa michezo wa CCM Kirumba kwa timu ya soka ya Alliance Sports  Academy ya Mwanza kumenyana na Madini Fc kutoka mkoani Arusha kwa kundi B

Mchezo huo uliokuwa wa ushindani mkubwa umemalizika kwa Timu ya Alliance kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi mpinzani wake  Madini  FC ya Arusha.

 Mchezo huo uliokuwa na ushangiliaji wa aina yake kwa mashabiki wa timu ya Alliance Sports Academy ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani