Maria Sharapova aitema Fed Cup
Mcheza tennis Maria Sharapova hatocheza nusu fainali katika mashindano ya Fed Cup yanayofanyika huko Sochi nchini Urusi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV15 Apr
Maria Sharapova ajitoa mashindano ya Fed Cup.
Mcheza tennis nambari mbili duniani Maria Sharapova hatocheza mchezo wa nusu fainali mwishoni mwa wiki hii dhidi ya mjerumani katika mashindano ya Fed Cup yanayofanyika huko Sochi nchini Urusi.
Sharapova mwenye umri wa miaka 27 ameondolewa katika mashindano hayo kutokana na kusumbuliwa na jeraha la mguu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Sharapova ameonesha masikitiko yake kutokana na namna alivyokuwa na hamasa ya kufanya vizuri katika mashindano hayo.
“ Mimi na timu yangu tulibadilisha...
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Maria Sharapova kuikosa US Open
5 years ago
The Guardian26 Feb
'I'm saying goodbye': Maria Sharapova announces tennis retirement
5 years ago
Al Jazeera America27 Feb
Maria Sharapova retires: Rise and fall of tennis superstar
5 years ago
FXStreet23 Mar
Fed's Bullard: Says Fed willing to do more to assist with crisis
9 years ago
Raia Tanzania28 Aug
Lundenga aitema Miss Tanzania
BAADA ya kutoka kifungoni , Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashimu Lundenga ameachia ngazi kwenye Kamati ya Miss Tanzania na kuundwa kamati mpya inayoongozwa na Juma Pinto.
Awali Lundenga alikuwa mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Mwishoni mwa mwaka jana shindano hilo lilifungiwa na serikali kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), baada ya waandaaji kudaiwa kukiuka taratibu na kanuni za mashindano hayo, baada ya mrembo aliyekuwa akishikilia taji hilo, Sitti Mtevu...
9 years ago
BBCSwahili29 Sep
Majeraha yamuandama Sharapova
11 years ago
TheCitizen08 Jun
Tennis star Sharapova still shines
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Murray,Sharapova waendeleza ushindi