MARRIAGE GALA AND BIDDING PARTY
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo11 years ago
GPL11 years ago
GPL11 years ago
MichuziFamilia Kitchen Party Gala ni Jumapili Hii
Jumapili huwa ni siku muhimu sana kwa familia. Ni siku ambayo mama/dada anapata nafasi ya kukaa ama kutembelea ndugu jamaa na marafiki. Kwa kufahamu umuhimu wa kuwa na familia yenye furaha na upendo, PSI Tanzania kupitia brand yao ya Familia wanakuletea Familia Kitchen Party Gala tour,Dar es Salaam. Nafasi ya mwanamke wa Dar es Salaam kupata mafunzo na kujinoa kuhusu mambo yanayomuhusu yeye,afya, saikolojia, kupanga muda, na mengine meeengi.
Hii ni nafasi ya kina mama kupima Kansa ya...
9 years ago
Bongo529 Oct
Dina Marius airejesha tena Kitchen Party Gala
Mtangazaji wa kipindi cha Uhondo cha EFM, Dina Marious ameirejesha tena Kitchen Party Gala – hafla ambayo huwakutanisha wanawake mbalimbali nchini kuzungumza masuala ya mahusiano, familia, kujikwamua kiuchumi na mengine. “Kila mwanamke ana mipango na mikakati ya kufikia malengo fulani katika maisha.Yawezekana mipango haiendi,changamoto zinakufanya ukate tamaa,umekuwa mtu wa kuhairisha, wewe muongeaji tu utendaji sifuri,ndoa […]
11 years ago
MichuziFAMILIA KITCHEN PARTY GALA NDANI YA JIJI LA DAR
Baada ya Dodoma na Mwanza,sasa Familia Kitchen Party Gala inahamia Dar es Salaam. Ni Jumapili hii tarehe 26,ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa sita mchana. Wazungumzaji ni Aunt Sadaka,Mama Victor na kaka Chris Mauki.. Burudani kabambe kutoka kwa Malkia Khadija Kopa,Mwasiti na Shaa
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
10 years ago
Dewji Blog22 Jul
11 years ago
GPLTASWIRA ZA KITCHEN PARTY GALA JIJINI MWANZA
Elimu ikitolewa katika Familia Kitchen Party Gala jijini Mwanza jana. Msanii Mwasiti akitoa burudani wakati wa Familia Kitchen Party Gala jijini…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania