Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marufuku ya kutoka nje tamati Sierra L

Marufuku ya kutoka nje kwa siku tatu yafikia tamati hii leo,Serikali yasema mpango umefanikiwa

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Marufuku kutoka nje siku tatu

SIERRA Leone jana ilianza siku tatu za kujifungia ndani kwa wananchi wote, ikiwa ni hatua ya kukabiliana na kusambaa kwa ugonjwa wa ebola.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marufuku ya kutoka nje yaongezwa kwa siku 21 Uganda

Marufuku ya kutoka nje yaongezwa kwa wiki tatu Uganda

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Jinsi marufuku ya kutoka nje ya virusi vya corona inavyowaathiri wanawake kwa kunyanyaswa

Umoja wa Mataifa unaonya kuwa unyanyasaji na vurugu za kijinsia kwa wakati huu ni jambo la haraka kama matibabu.

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Walihamishwa kutoka Marekani na sasa wamekwama Sierra Leone

Saren Idaho na Prince Latoya walipekewa Sierra Leone, ambapo wanasema hiyo siio nchi yao wala hawana jamaa hata mmoja huko

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini Rwanda imeongeza muda wa marufuku ya kutotoka nje?

Marufuku ya kutotoka nje ilikuwa imalizike mwishoni mwa juma hili, lakini mambo hayajawa kama ilivyopangwa

 

5 years ago

BBCSwahili

Virus via corona: Italia kulegeza masharti ya usafiri na marufuku ya kutotoka nje

Uamuzi wa kulegeza masharti ya kutotoka nje unaashiria hatua kubwa katika juhudi za nchi hiyo kufungua tena uchumi wake baada ya zaidi ya miezi miwili ya kufungwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Trump hana 'mamlaka 'ya kuondoa marufuku ya kutotoka nje

Rais Donald Trump amedai kuwa anatumia nguvu zote ili kuhakikisha kuwa taifa kwa ujumla linajiondoa katika marufuku ya kutotoka nje kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, jambo ambalo linatofautiana na kile ambacho magavana na wataalamu wa sheria wamesema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani