Masai Warriors walivyopagawisha watoto sikukuu ya Idd Dar Live
Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wake wa kuendeha baiskeli ya tairi moja.
Watoto wakimshangaa mtaalam huyo wa kutembelea baiskeli ya tairi moja.
Masai Warriors wakionesha madoido kwa watoto.
Msanii akionesha ujanja wa kukunja viungo.
Watoto wakizidi kufurahia burudani.
Mchezea baiskeli akiendelea na ujanja wake.
Maonyesha yakiendelea.
WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini wenzao duniani kote kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj.
Katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/1.Mmoja-wa-wanaKikundi-cha-Masai-warriors-akionesha-ujanja-wake-wa-kuendeha-baiskeli-ya-taili-moja..jpg)
MASAI WARRIORS WAPAGAWISHA WATOTO SIKUKUU YA IDD DAR LIVE
Mmoja wa wanakikundi cha Masai Warriors akionesha ujanja wake wa kuendeha baiskeli ya tairi moja. Watoto wakimshangaa mtaalam huyo wa kutembelea baiskeli ya tairi moja. Masai Warriors wakionesha madoido kwa watoto. Msanii akionesha ujanja wa kukunja viungo. Watoto wakizidi kufurahia burudani. Mchezea baiskeli akiendelea na ujanja wake. Maonyesha yakiendelea. WAUMINI wa dini ya Kiislam nchini kote jana waliungana na waumini...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8qIoio0GTJPbn3vzwP2nrB9eZaBB1Z*Q8E9oVAkX0aE*W0EAfJfL8iL4v2JnvArII1BZVBNtKGky9KDYs5-Bv-ioRRdmB8P9/darlive3.jpg?width=650)
WATOTO WAKIJIACHIA NA PROFESA CALABASH NDANI YA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD
Mtaalam wa michezo ya watoto na maigizo, Profesa Calabash (mwenye mic) akifanya vitu vyake ndani ya Dar Live katika sikukuu ya Idd Mosi leo.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/bella2.jpg)
11 years ago
GPLUSIKU WA MNYAMA NA WANYAMA WATIKISA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD PILI
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Khalid Mohammed 'TID' akizikonga nyoyo za mashabiki wa Dar Live katika Usiku wa Mnyama na Wanyama. Mwanamuziki Jafarai akipagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.…
11 years ago
GPLJAHAZI MODERN TAARAB WAFUNIKA DAR LIVE SIKUKUU YA IDD MOSI
Waimbaji wa kundi la Jahazi Morden Taarab wakiwa jukwaani wakati wakifanya yao katika sikukuu ya Idd, Dar Live. Mashabiki kibao wakiwa wamejazana mbele ya steji…
10 years ago
GPL14 Jul
10 years ago
GPL27 Dec
10 years ago
GPLWATOTO WALIVYOKULA BATA IDD MOSI DAR LIVE
Watoto wakionekana wenye furaha, huku wakiendesha baiskeli kwenye ukumbi huo. Watoto wakipanda katika picha ya ndege iliyopo ndani ya ukumbi huo wa burudani.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania