Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masauni - Wahamiaji Haramu kusakwa kwenye ma-Gesti, Mahotelini

Na Mwandishi WetuSerikali imetangaza kuanza operesheni, doria na misako  maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo  katika  nyumba za kulala wageni, stesheni za mabasi, stesheni za reli, mahoteli, mialo ya uvuvi pamoja na maeneo yenye muingiliano wa shughuli za kibiashara hasa vijiji vinavyojishughulisha na shughuli za kilimo,makampuni binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

EU kupambana na wahamiaji haramu

EU imekubali kuunda kikosi cha wanamaji ili kupambana na wafanyabiashara wa binadamu kupitia bahari ya mediterania

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Msihifadhi wahamiaji haramu’

KIONGOZI wa mbio za mwenge wa uhuru, Rachel Kassanda, amewataka Watanzania kuacha tabia ya kuwahifadhi wahamiaji haramu, kwani kwa kufanya hivyo ni kuhatarisha amani na usalama wa nchi. Akizungumza baada...

 

11 years ago

Habarileo

JK aonya wahamiaji haramu

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameonya wahamiaji haramu wanaorejea nchini baada ya Operesheni Kimbunga kumalizika na kusema kama wanafanya hivyo, wanajisumbua, hawatadumu nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wahamiaji haramu 21 wakamatwa

IDARA ya Uhamiaji mkoani hapa, imewakamata wahamiaji haramu 21 kutoka nchi ya Ethiopia walioingia nchini kwa kutumia roli la kubebea saruji katika eneo Mashujaa mjini Makambako. Naibu Kamishna wa Idara...

 

10 years ago

Habarileo

Wakala wa wahamiaji haramu anaswa

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David MisimeMKAZI wa Mwanza aliyetambulika kwa jina la Sultan Said Ramadhani (31) maarufu kama Kusharunga, amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kusafirisha wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.

 

10 years ago

Mwananchi

Wahamiaji haramu 12 wanaswa Tanga

Polisi wilayani hapa imewakamata wahamiaji haramu 12 wenye asili ya Ethiopia wakiwa wamefichwa katika gari lililokuwa likielekea Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Wahamiaji haramu 50 wazuiwa kujiandikisha

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe.ZAIDI ya wahamiaji haramu 50 wanaoishi katika kijiji cha Tamau wilayani Bunda, mkoani Mara, akiwemo mwenyekiti wa kijiji hicho wamezuiwa kujiandikisha kwenye daftari hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaowaajiri wahamiaji haramu kuadhibiwa

Biashara zinazoowaajiri wahamiaji haramu zitachukuliwa hatua kali kulingana na waziri wa uhamiaji nchini Uingereza.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mikakati kupambana na wahamiaji haramu

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuongeza zaidi fungu la fedha katika operesheni kudhibiti wahamiaji haramu, barani Ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani