Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHABIKI YANGA, SIMBA WAFANANISHA UFICHO WA MAPATO MTANI JEMBE SAWA NA ESCROW

Na Saleh AllyNIMECHAMBUA mambo kadhaa kuhusiana na mechi ya Nani Mtani Jembe iliyowakutanisha watani, Simba wakashinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Yanga.Mechi hiyo ya mwishoni mwa mwaka jana ilifana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Siku chache baadaye nikaanza kuhoji kuhusiana na mapato kwa kuwa hayakutangazwa, kwa nini ilikuwa siri?Nilitaka kujua kuhusiana na mgawo na Yanga na Simba zilifaidikaje kwa kuwa inaonekana wadhamini wao, Bia ya Kilimanjaro, walichukua kiasi cha fedha. Swali likawa vipi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

NANI MTANI JEMBE??: Baadhi ya Tambo za Waigizaji Mashabiki wa Simba na Yanga

Leo ikiwa ni ile siku iliokkwa ikisubiliwa kwa hamu kujua nani ni MTANI JEMBE. Hizi ni baadhi ya tambo za waigizaji wa filamu ambao ni mashabiki wa timu hizi mbili za Samba na Yanga ambazo leo jioni zitavaana ili kujua nani ni mtani jembe.kumbuka mwaka jana Simba ndio alieibuka mtani jembe..Leo Jeeee?!!!!

Soma maneno walioandika mitandaoni kuelekea mechi hii.

Jb: Hakuna miujiza aliyezoea kufungwa na leo atafungwa.poleni sana yebo yebo...(picha akiwana jezi yake nyekundu)

Riyama: Kelele za...

 

10 years ago

Michuzi

KABURU NA BINDA WAWAONGOZA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA KATIKA NANI MTANI JEMBE JIJINI ARUSHA

Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu akipuliza Vuvuzela jana kwenye kiwanda cha Bia ,mkoani Arusha wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe iliwakutanisha wafanyakazi wa kiwanda hicho. Makamu Rais wa timu ya Simba,Geofrey Nyange Kaburu(kushoto) na Mjumbe Kamati Kuu ya timu ya Yanga,Mohamed Binda,wakicheza danadana wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Nani Mtani Jembe kwenye kiwanda cha Bia mkoani Arusha jana. Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga ambao ni wafanyakazi...

 

10 years ago

Vijimambo

SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE

 Awadh Juma na Jonas Mkude wakishangilia moja ya magoli ya Simba. (Picha ya maktaba).Mabingwa wa Kombe la Nani Mtani Jembe, Simba SC ya Msimbazi jijini Dar es Salaam wameshawanyanyuka vitini kufuatia bao la kuongozwa lililotumbukizwa kimiani na Mchezaji wake Awadh Juma.
Goli la pili la Simba limeweka wavuna na Elius Maguli na kuifanya Yanga kuzidi kutweta huku Simba wakizidi kuliandama lango la Yanga.

Mchezo huo wa kuania kombe la Nani Mtani Jembe 2014 bado unaendelea Uwanja wa Taifa jijini...

 

11 years ago

GPL

LIVE MECHI YA MTANI JEMBE: SIMBA 2 - 0 YANGA

Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma. Yanga line up: Juma Kaseja - 29,Mbuyu Twite - 6 ,David Luhende - 3,Nadir Haroub "Cannavaro" - 23(C),Kelvin Yondani "Cotton" - 5, Athuman Idd " Chuji" - 24, Mrisho Ngassa - 17, Frank Domayo - 18, Didier Kavumbagu - 7, Hamis Kiiza - 20, Haruna Niyonzima - 8

...

 

10 years ago

Vijimambo

MPIRA UKWISHA SIMBA 2 YANGA 0 NANI MTANI JEMBE


Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Elias Maguli katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza. Mabao yote ya Simba yamefungwa katika kipindi cha kwanza huku bao la kwanza likifungwa na Awadh Juma katika dakika ya 30.Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yao.Andreu Coutihno, akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba...Mchezaji mpya wa Yanga, kutoka nchini Liberia, Kpah Sherman. akisomba kijiji cha mabeki wa Simba.... Hadi hivi sasa...

 

10 years ago

GPL

NANI MTANI JEMBE 2, YANGA KUIVAA SIMBA KESHO TAIFA

Mechi ya Nani Mtani Jembe namba 2 itafanyika kesho siku ya jumamosi katika dimba la Uwanja ambapo itawakutanisha Young Africans Sports Club dhidi ya Simba SC huku timu  zote zikitarajiwa kuwatumia wachezai wao wapya zilizowasajili katika kipindi cha dirisha dogo. Kikosi cha mbrazil Marcio Maximo tayari kimeshawasajili wachezaji wawili kiungo Emerson de Oliveira kutoka nchini Brazil na mshambuliaji mkongwe na mzoefu wa hali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani