Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashambulizi yaendelea Ukrain

Ukrain inasema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kwenye mashambulizi mapya yanayoendeshwa na waasi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ukrain kujibu mapigo

Jeshi la Ukrain limeanza kujihami mashariki mwa nchi hiyo dhidi ya mashambulizi ya waasi wa Urusi

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukrain yalipuka ghasia zikisambaa

Maandamano yamepamba moto Ukraine serikali isijue la kufanya

 

11 years ago

BBCSwahili

UN:Ukiukaji wa haki za binadamu Ukrain

Ripoti mpya iliyotayarishwa na wachunguzi wa umoja wa mataifa kuhusu visa vya ukiukaji wa haki za binadamu inasema haki za binadamu nchini Ukraine zimezorota kwa kiwango kikubwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaunga mkataba wa Ukrain

Ikulu ya whitehouse nchini Marekani yafurahishwa na makubaliano kati ya serikali na upinzani nchini Ukrain ili kumaliza mzozo

 

10 years ago

BBCSwahili

Waamerika wawili waachiliwa Ukrain

Waasi wanaoiunga mkono Urusi Mashariki mwa Ukrain wamewaachilia huru raia wawili wa Marekani

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi Ukrain: makubaliano yatashindwa

Kiongozi wa waasi mashariki mwa Ukrain amesema kuwa usitishwaji wa mapigano ulioafikiwa mapema mwaka huu na serikali hautadumu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama aionya Urusi kuhusu Ukrain

Rais Obama asema kuwa Urusi inakiuka sheria ya kimataifa kufuatia hatua yake ya kuingiza vikosi vyake nchini Ukrain

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapigano nchini Ukrain yazua wasiwasi

Mawaziri wa mashauri ya kigeni wa Ujerumani , Ufaransa , Urusi na Ukrain wameelezea wasi wasi wa mapigano mashariki mwa Ukrain

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yaonywa kuhusu mkataba wa Ukrain

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry awapigia simu maafisa wakuu katika serikali za Ukrain na Urusi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani