Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukrain kujibu mapigo

Jeshi la Ukrain limeanza kujihami mashariki mwa nchi hiyo dhidi ya mashambulizi ya waasi wa Urusi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Gwajima kujibu mapigo ya Dk Slaa kesho Dar

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kesho anatarajia kujibu mapigo kuhusu tuhuma dhidi yake zilizotolewa na Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa ambaye hivi karibuni alimweleza kuwa ni mshenga wa Edward Lowassa kwa viongozi wa Chadema.

 

10 years ago

Bongo Movies

Vijimambo:Hizi Swaga za JB Mtandaoni Kujibu Mapigo ya Zamaradi

Kama mnavyojua tena  habari ya MUJINI kwenye tasnia hii ya filamu ni hii ya Copy and Paste ya Mzee wa Swaga kutoka kwa Ladies VS Ricky Bahl akutoka Hollywood.

Hili lilipamba moto baada ya mtagazaji Zamaradi Mtetema kuchana wazi wazi kwnye kipindi chake cha TAKE ONE  kuwa kampuni ya Jerusalem imefanya kuiga filamu  hiyo ya kihindi kwa asilimia karibu zote.

Sasa haya ni baadhi ya maneno na swaga ambazo JB ambae ndio mtunzi, mwongozaji na muigizaji mkuu wa filamu hiyo amekuwa akizitupia...

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi yaendelea Ukrain

Ukrain inasema kuwa mmoja wa wanajeshi wake ameuawa na wengine 14 kujeruhiwa kwenye mashambulizi mapya yanayoendeshwa na waasi.

 

11 years ago

BBCSwahili

UN:Ukiukaji wa haki za binadamu Ukrain

Ripoti mpya iliyotayarishwa na wachunguzi wa umoja wa mataifa kuhusu visa vya ukiukaji wa haki za binadamu inasema haki za binadamu nchini Ukraine zimezorota kwa kiwango kikubwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani yaunga mkataba wa Ukrain

Ikulu ya whitehouse nchini Marekani yafurahishwa na makubaliano kati ya serikali na upinzani nchini Ukrain ili kumaliza mzozo

 

11 years ago

BBCSwahili

Ukrain yalipuka ghasia zikisambaa

Maandamano yamepamba moto Ukraine serikali isijue la kufanya

 

10 years ago

BBCSwahili

Waamerika wawili waachiliwa Ukrain

Waasi wanaoiunga mkono Urusi Mashariki mwa Ukrain wamewaachilia huru raia wawili wa Marekani

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi Ukrain: makubaliano yatashindwa

Kiongozi wa waasi mashariki mwa Ukrain amesema kuwa usitishwaji wa mapigano ulioafikiwa mapema mwaka huu na serikali hautadumu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani