Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Masharti kuhusu fedha za Jamhuri ya Muungano

Katika Muundo wa Shirikisho, Benki Kuu ya Jamhuri ya Muungano ni moja Mjadala wa Bunge Maalumu la Katiba unaendelea huku kamati karibu zote zikiwa zimekamilisha mijadala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015

Mheshimiwa Spika;
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014

I:UTANGULIZI                                  a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu.  Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini na Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) wenye thamani ya dola laki moja z

  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wajumbe aliokuja nao mgeni wake.   Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan (kushoto) mara baada ya kutia saini mkataba wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Muundo wa Bunge la Jamhuri ya Muungano

Wakati Bunge Maalumu la Katiba likiendelea na vikao vya kamati zake, sintofahamu juu ya nini hatima ya mawazo ya wananchi kama yalivyowasilishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba inaendelea kuibuka.

 

5 years ago

CCM Blog

JE UNAYAJUA MASHARTI YA UENDESHAJI WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA.?.



Kamishna wa Sekta ndogo ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt Charles Mwamwaja alipokuwa akiwasilisha mada katika semina ya Wahariri na Waandishi wa Habari kuhusu Elimu ya Sera ,Sheria na kanuni za huduma ndogo za Fedha,iliyofanyika hivi karibuni mjini Morogoro. Pamoja na mambo hayo,Kamishna Mwamwaja pia alieleza na kufafanua kuhusu Masharti ya uendeshaji wa biashara hiyo ya huduma ndogo za fedha kama yanavyoonesha hapa chini.
 HABARI

 

10 years ago

Michuzi

Tafrija ya Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani yafana


Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumaninchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tafrija hiyo. Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani nchini Tanzania, Egon Kochanke akisoma hotuba yake.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akisoma hotuba yake. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe...

 

9 years ago

CCM Blog

WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA USPIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuchukua fomu za kuwania uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbele ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya uspika wa bunge la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani