JE UNAYAJUA MASHARTI YA UENDESHAJI WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA.?.
Kamishna wa Sekta ndogo ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt Charles Mwamwaja alipokuwa akiwasilisha mada katika semina ya Wahariri na Waandishi wa Habari kuhusu Elimu ya Sera ,Sheria na kanuni za huduma ndogo za Fedha,iliyofanyika hivi karibuni mjini Morogoro. Pamoja na mambo hayo,Kamishna Mwamwaja pia alieleza na kufafanua kuhusu Masharti ya uendeshaji wa biashara hiyo ya huduma ndogo za fedha kama yanavyoonesha hapa chini.
HABARI
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi5 years ago
MichuziTAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWASILISHA MALALAMIKO YA WATEJA KWENYE TAASISI ZA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA
maombi yao ya kulipa mkopo mapema, kutozwa riba na gharama zingine kubwa wanapotaka kulipa mkopo mapema. Kutokana na malalamiko hayo, Benki Kuu ya Tanzania imewaagiza Watoa Huduma Ndogo za Fedha waliolalamikiwa kuchukuwa hatua zifuatazo:
1....
5 years ago
Michuzi11 years ago
Mwananchi15 May
Urasimishaji wa biashara ndogo ni jambo muhimu
11 years ago
Tanzania Daima31 Jan
Ulaya ilegeze masharti ya biashara — wadau
BAADHI ya wadau wa masuala ya biashara na uwekezaji nchini, wamesema kuna haja ya mataifa ya nje kulegeza masharti, ili kupanua wigo wa kibiashara kwa kuruhusu Waafrika kuuza bidhaa zao...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Masharti kuhusu fedha za Jamhuri ya Muungano
10 years ago
MichuziKongamano la kuhamasisha ushiriki wa Diaspora katika kukuza biashara ndogo na za kati kufanyika nchini
10 years ago
MichuziWANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...