Ulaya ilegeze masharti ya biashara — wadau
BAADHI ya wadau wa masuala ya biashara na uwekezaji nchini, wamesema kuna haja ya mataifa ya nje kulegeza masharti, ili kupanua wigo wa kibiashara kwa kuruhusu Waafrika kuuza bidhaa zao...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Serikali ilegeze masharti uanzishaji viwanda
SERIKALI imeshauriwa kupunguza masharti kwenye taratibu za uanzishwaji wa viwanda vidogo ili kutoa fursa kwa vijana wengi kujiajiri kupitia sekta hiyo. Kauli hiyo ilitolewa na mshauri wa mazao ya maziwa...
5 years ago
CCM BlogJE UNAYAJUA MASHARTI YA UENDESHAJI WA BIASHARA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA.?.
Kamishna wa Sekta ndogo ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango,Dkt Charles Mwamwaja alipokuwa akiwasilisha mada katika semina ya Wahariri na Waandishi wa Habari kuhusu Elimu ya Sera ,Sheria na kanuni za huduma ndogo za Fedha,iliyofanyika hivi karibuni mjini Morogoro. Pamoja na mambo hayo,Kamishna Mwamwaja pia alieleza na kufafanua kuhusu Masharti ya uendeshaji wa biashara hiyo ya huduma ndogo za fedha kama yanavyoonesha hapa chini.
10 years ago
BBCSwahili23 Apr
Biashara ya binaadamu ni tatizo Ulaya
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Wadau: Biashara ya sanaa bado wizi mtupu
9 years ago
StarTV10 Oct
Wadau barani Afrika wahimizwa kuchangamkia fursa za biashara
Wadau wa sekta ya uchumi barani Afrika wamehimizwa kuzichangamkia fursa za biashara na masoko kwa kuzingatia uwekezaji madhubuti ili kukuza uchumi wa nchi zao.
Wito huo umetolewa jijini Nairobi na meneja masoko wa kampuni ya Kenya airways Chris Diaz, akijielekeza zaidi kuzungumzia wajibu wa makampuni ya kibiashara barani Afrika kuzisaidia nchi za kiafrika kufanikisha mpango wa maendeleo wa 2030.
Mpango wa miaka kumi na tano ulioainishwa na Umoja wa mataifa hivi karibuni ukilenga kumaliza...
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
George Floyd: Sanamu zilizotukuza biashara ya utumwa Marekani na Ulaya zaharibiwa
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-QfXJ3HLTEA4/U7eM2wLnysI/AAAAAAACkyU/GKQiDN8zDNI/s72-c/1.jpg)
WADAU WA TANZANIA DIASPORA WAKO NDANI YA MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA SABASBA.
![](http://1.bp.blogspot.com/-QfXJ3HLTEA4/U7eM2wLnysI/AAAAAAACkyU/GKQiDN8zDNI/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-e8O6RSNkph4/U7eM2zkxSkI/AAAAAAACkyE/CIZ-ffY89PY/s1600/2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-0oBi4HfY4zA/U7eM26rbeGI/AAAAAAACkyI/UF95daMEXwM/s1600/3.jpg)
10 years ago
VijimamboMaalim Seif awavuta wawekezaji wa Ulaya kuwekeza kwenye biashara za viungo na utalii
Na: Khamis Haji, Milan...
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
Virusi vya corona: Serikali zimeanza kulegeza masharti ya kukabiliana maambukizi, Je kulegeza masharti ni hatari kiasi gani?